Wiki iliyopita tuliona serikali ya Marekani ikitoa ushauri kwa serikali ya CCM kukaa meza moja na Chama kikuu cha upinzani CHADEMA ili kumaliza tofauti haswa baada ya kushtakiwa Mwenyekiti Mh. Freeman Mbowe kwa kesi ya ugaidi, Je serikali hii inaweza kupinga ushauri huo?