Liberia: Wananchi Milioni 2.4 kuamua hatma ya Urais wa George Weah leo

Liberia: Wananchi Milioni 2.4 kuamua hatma ya Urais wa George Weah leo

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1696916912379.png

Zoezi hilo linafanyika kwa kukamilisha kipindi cha kwanza cha miaka 6 cha utawala wa aliyewahi kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, George Weah ambaye aliingia Madarakani mwaka 2017.

George Weah anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Wagombea Urais 19 akiwemo aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Joseph Boakai na Mfanyabiashara Alexander Cummings ambao wameonesha kuungwa mkono na wapiga Kura wanaodai Weah ameshindwa kupambana na Rushwa Nchini humo.

Wakati akiingia Madarakani, Weah aliahidi kuwachulia hatua Wanaohusika na Rushwa lakini baadaye alikaririwa akisema hakuna haja ya kufukua Kesi za nyuma. Mwaka 2022 kiongozi huyo alifanya safari ya Mapumziko nje ya Nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja ambapo alitengewa Bajeti ya Tsh. Milioni 5 kwa siku
=============

Liberians are voting on Tuesday for presidential and parliamentary elections.

Nineteen candidates are hoping to replace the incumbent, former football star George Weah, who is seeking a second term.

The two main challengers are the former vice president Joseph Boakai and the businessman Alexander Cummings.

Both were in an alliance of opposition parties but the coalition broke up after disagreements over who should run for president.

Despite some progress in terms of education and the supply of electricity, critics say there has been widespread corruption during Mr Weah's time in power.

He is pledging to build new roads, a timely subject during elections in the rainy season when large parts of Liberia's network are cut off from the capital Monrovia.

Mr Weah came to power in 2017 on a wave of popular support after two previous unsuccessful attempts.

Liberia’s finance minister has said President George Weah is "entitled" to $2,000 (£1,700) daily allowance during his current controversial overseas trip that includes a stop in Qatar for nine days to watch the Fifa World Cup.

Samuel Tweah did not however disclose the overall budget for the president’s foreign travel, which began two weeks ago.

The minister told Spoon Talk, a widely monitored online TV show, that the amount Mr Weah is entitled to be the same figure his predecessor received.

Critics, some inside the ruling Congress for Democratic Change party, say awarding Mr Weah such a huge amount a day goes against his promise to reduce public spending in favour of his "pro-poor agenda.


Mr Weah informed the senate two weeks ago that he would be out of the country from 1 to 23 November, including a visit to Qatar from 15 to 23 November.

BBC
 
... wa-Liberia wanapenda umarekani zaidi kuliko uafrika wao! Huyo kijana wa kiume aliyevaa kidani sikioni ni mwanae?
 
... wa-Liberia wanapenda umarekani zaidi kuliko uafrika wao! Huyo kijana wa kiume aliyevaa kidani sikioni ni mwanae?
Mwanae anachezea timu ya Taifa ya Marekani Fatilia historian utajua uhusiano wa Marekani na Liberia.
 
Both were in an alliance of opposition parties but the coalition broke up after disagreements over who should run for president

Ujinga wa waafrika huwa unajidhihirisha hapa na unachangia katika mwendelezo wa matatizo yetu kwa kuwaacha watawala makupe na vyama vyao waendelee kudunda madarakani huku wakifuja nchi kwa urefu wa kamba zao.

Hii inaonesha wazi kabisa kuwa hata hao wapinzani ni tamaa na njaa tu zinawapelekea kuitaka ikulu, si kuwainua watu wao.

Halafu cha ajabu utakuta kuna wafuasi wao wana imani nao kutoka mioyoni kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom