sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kina sabaya hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂[emoji1548][emoji3]lakini mimi nahusika na maandishi yangu ..sihusiki na tafsiri zao!
Paka na Muzukulu hao wana Millitary background kitu kinachowafanya wawe very technical mfano Paka amewahi kuwa CMI wa Jeshi la Uganda, Ngosha hakuwa na millitary background ukichanganya na ushamba kiasi lazima awe phased out. Nilihisi hatari baada ya Kijazi kuchomoka ambae ndio alikiwa mkono wa kulia wa Mzee, All in all he was a good presidentMbona Mseveni na Kagame wanakula bata lakini wakwetu wqkatumia mzana.Je wakwetu alikuwa anahatarisha au kwakuwa alifuatailia mambo ya wakubwa wenzake?
Thoughtful...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]USALAMA:
Hali ya mtu au kitu kuwa huru dhidi ya shambulio lolote ( Kiroho,Kimwili,kinafsi,kiakili nk)
ULINZI:
Uwezo wa mtu au kitu kuthibiti shambulio na kurudisha hali ya mtu au kitu kwenye usalama.
NB:Usalama ni dhana ya kufikirika,kama ambavyo ikweta,latitudo na longitudo ilivyo mistari ya kufikirika.Japo usalama ni dhana ya kufikirika,matumizi ya dhana hii huweza kuwa na madhara( chanya au hasi),madhara haya huwa ni madhara halisi( tangible) kama ambavyo matumizi ya mistari ya kufikirika yaani ikweta,longitudo na latitudo huweza kuwa na madhara halisi kwa watumiaji wa mistari hiyo.
Was he a threat to the nation or personal ID? Sometimes we mistakenly n wrongfully use our Powers for personal gainings.. That has totally nothing to do with national security!So, Mr. Mshana Jr , which group among the three you have mentioned above, tried to assassinate Hon. Mr. Tundu Lissu in 2017?
yani hawa ni dhehebu kubwa Sana lilo ndani ya madhehebu mengine!USALAMA:
Hali ya mtu au kitu kuwa huru dhidi ya shambulio lolote ( Kiroho,Kimwili,kinafsi,kiakili nk)
ULINZI:
Uwezo wa mtu au kitu kuthibiti shambulio na kurudisha hali ya mtu au kitu kwenye usalama.
NB:Usalama ni dhana ya kufikirika,kama ambavyo ikweta,latitudo na longitudo ilivyo mistari ya kufikirika.Japo usalama ni dhana ya kufikirika,matumizi ya dhana hii huweza kuwa na madhara( chanya au hasi),madhara haya huwa ni madhara halisi( tangible) kama ambavyo matumizi ya mistari ya kufikirika yaani ikweta,longitudo na latitudo huweza kuwa na madhara halisi kwa watumiaji wa mistari hiyo.
OooohhWas he a threat to the nation or personal ID? Sometimes we mistakenly n wrongfully use our Powers for personal gainings.. That has totally nothing to do with national security!
It was a question [emoji1541][emoji1541][emoji1541]Oooohh
How could you know he was'nt a threat to the nation ?
As the matter of fact he was good politician, in such way he can be mobilised by others ?
Kwa upande mwingineIt was a question [emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Was he a threat to the nation or personal ID?