Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Laiti haya uliyoyazungumzia yangekuwa yanafuata bongo nakuambia Kuna watawala wengi Sana wangeliwa vichwa
Kwanini?
1.wanachezea katiba ya nchi waziwazi.
2.wanakula pesa za umma bila kificho.
3.wana hatarishi maslahi ya nchi na diplomasia kwa mihemko Yao ya kisiasa
4.wanavunja umoja na mshikamano wa Taifa bila uoga .
5.wanakandamiza haki na kuchochea rushwa .
Kama haya Mambo yangekuwa yanazingatiwa na hao wanajulika wa usalana hii nchi ungekuwa kwenye mstari na mafanikio makubwa zaidi ya haya
Lakini wanachofanya
1.wanatawaliwa na wanasiasa katika maamuzi hawana usemi
2.wanaacha siasa zitawale Hadi kwenye idara
3.wako bize kutafuta wanaoikosea serikali
4. Wana wageuza upinzani Kama maadui wa nchi hata Kama mawazo Yao yanajenga
Tunaweza kuwa Taifa tajiri Kama watu usalama wakijikita kwenye Mambo ya msingi yanainua Taifa na tutabaki hivi hivi masikini na omba omba sababu ya kuendekeza siasa kwenye maslahi ya mapana ya Taifa
Ni mawazo tu