LICENSE TO KILL: Maslahi mapana ya taifa yanapozingatiwa!

Kulitengenezwa kitengo mbadala ambacho si cha taifa bali cha chama
Unafikiri hawajui, kuna kitengo kilikuwepo nje ya kitengo ambacho kilishirikisha baadhi ya watu wachache wa kitengo na raia wa kawaida wenye roho mbaya. Mission zao nyingi zilikuwa za kidwanzi mfano ni ile iliyofanyika Tarime kwa Zakaria, Kibondo kwa Kanguye, na kwa Roma Mkatoriki. Mfano fikiria mtu kama Roma ambae hana effect yoyote hata kwenye kata unaenda kumteka na kumtesa..!
Inahitajika akili kubwa sana kuepusha matatizo ya aina hii tuliyopitia ili yasije kudondoka kwa mtu wa aina ile maana ni hatari kwa taifa na watu wake, tathimini ya viongozi bora wa taifa na siyo bora kiongozi inahitajika ili kutuepusha kuangukia mikononi mwa watu washamba wa madaraka na wanaolewa sifa kisa kumiliki siraha
 
HIVI NI KWELI MWENDA ZAKE ALIKUWA NALINDWA NA MAJESHI YA NJE YQNAYOTUMIA UNIFORM ZA NJE KAMA MBOWE ALIVYODAI KWENYE PRESS RELEASE?JE INAWEKANA KATOKA NCHI KAMA YETU KUFANYIKA KITU KAMA HICHO TENA KWA UWAZI AU NI UWONGO WA KISIASA?
Siwezi kulisemea hili kwakuwa haliko kwenye mada yangu
 
HIVI NI KWELI MWENDA ZAKE ALIKUWA NALINDWA NA MAJESHI YA NJE YQNAYOTUMIA UNIFORM ZA NJE KAMA MBOWE ALIVYODAI KWENYE PRESS RELEASE?JE INAWEKANA KATOKA NCHI KAMA YETU KUFANYIKA KITU KAMA HICHO TENA KWA UWAZI AU NI UWONGO WA KISIASA?
Duh
 
Kwa hiyo ben sanane alitishia usalama?
 
Kwa uzi wako huu unawaweka kenye kundi gani wanaodai Ben Saanane, Azaori, Kanguye, nk walidhulumiwa uhai wao?

Katika kumjibu mtoa hoja hapo chini umedai "Just a general discussion.. Not aiming anything specific" hapa unakwepa tu kunukuliwa kama chanzo uchochezi, lakini taswira ya andiko umelenga kitu gani, kwa nani na kwa sababu zipi

Kwa hiyo kwa kuwa umeamua kufunguka kimtego, jiachie tu na utamke ni nani aliyeuwa kwa masalahi ya taifa ili tumalize mchezo mapema
 
Kwa uzi wako huu unawaweka kenye kundi gani wanaodai Ben Saanane, Azaori, Kanguye, nk walidhulumiwa uhai wao?[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Madaraka ya kulevya yalikuja kuunda kitengo nje ya kitengo kisicho na weledi na ujuzi wa kiutendaji... Hicho kitengo kikafanya kazi kwa maslahi ya mtu na si taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauthibitisho gani, kitengo hicho kiliitwaje na kiongozi wake alikuwa nani?

Wewe uliwahi kukutana na mmojwapo waliukuwa wanaunda hicho kitengo ukajiridhisha kwamba hawana weledi kwa kazi hiyo?

Wewe unataalum yoyote kuhusiana na usalama wa taifa zaidi ya ubashiri wa kinyota?

Ni nani mwenye kipimo sahihi kwamba kitendo kilichotekelezwa kilikuwa kwa maslahi ya taifa au hapana?

Kwamimi unadai kitengo kiliundwa sijui na nani kwa maslahi binafsi?

Hivi unaelewa kwamba unapotajwa rais ndio unaamanisha nchi?

Kwa hiyo unataka kuwaambia jamii kwamba kabla ya SSH aliyekuwepo hakuwa rais ila alikuwa mtu binafsi?

Tafkari na ujibu kwa ufasaha Mshana Jr
 
Unajaribu kuuliza maswali ambayo sina majibu yake zaidi ya nilichokujibu..
Mengine ni tafsiri zako binafsi kufuatia jibu langu kwako... Sihusiki na hizo tafsiri zako nahusika na maandishi yangu
Hakuna mahali popote nimemtaja rais yeyote kwa lolote..sipo hapa kumjadili mtu
 
Unawajibika sawia
 
Your theories are only valid and relevant in political science and legal method classrooms. In practice they are just irrelevant and useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…