William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa.
Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff kuhukumu swala lake. Ili aone ametendewa haki au kaonewa.
Tff wameacha kelele za mashabiki tu. Hakuna mtu ata moja anayejua Ni kwanini feitoto hakufata sharti la kuvunja mkataba.
Swala lake fei Yuko sahihi. Hapaswi kupelekwa kwa vitisho au kulazimishwa. Tff inajukumu la kufafanua vipengere walivyotumia kumbana ili akipitia ajue afanyaje. Sense kwa Yanga kuyamaliza au akate rufaa.
Tff imemjibu kihuni na haijawahi kufafanua popote vipengere walivyotumia kuamua swala lake na Hilo linamlazimisha feitoto kushurutishwa kufata asichokiamini.
Haki iliyocheleweshwa Ni haki iliyoporwa. Nasisitiza Tff wanapaswa kumpa feitoto mapitio ya kesi yake mapema zaidi ata Kama kunagharama zinahitajika aambiwe alipie