Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa.

Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff kuhukumu swala lake. Ili aone ametendewa haki au kaonewa.

Tff wameacha kelele za mashabiki tu. Hakuna mtu ata moja anayejua Ni kwanini feitoto hakufata sharti la kuvunja mkataba.

Swala lake fei Yuko sahihi. Hapaswi kupelekwa kwa vitisho au kulazimishwa. Tff inajukumu la kufafanua vipengere walivyotumia kumbana ili akipitia ajue afanyaje. Sense kwa Yanga kuyamaliza au akate rufaa.

Tff imemjibu kihuni na haijawahi kufafanua popote vipengere walivyotumia kuamua swala lake na Hilo linamlazimisha feitoto kushurutishwa kufata asichokiamini.

Haki iliyocheleweshwa Ni haki iliyoporwa. Nasisitiza Tff wanapaswa kumpa feitoto mapitio ya kesi yake mapema zaidi ata Kama kunagharama zinahitajika aambiwe alipie
 
Fei kachezewa mchezo mbaya sana wa akili na kwa aliyefanya hivyo hajafanya poa

Kajichezea mwenyewe. Na asipoangalia atapotea mazima kisoka.

Yanga au Simba ni kama MABOSI WA SOKA hapa bongo. Na BOSI HANUNIWI mkuu…!!! Kuna muda unatakiwa uwe mpole tu ili mambo yaende…!! Asipoangalia ATAPOTEA KISOKA kwa sababu Yanga wakiamua kukaza mpaka hyo 2024, kisoka hataonekana kuwa na mchango wowote regardless ya mshahara wa kila mwezi wanaomlipa ambao kwa Yanga naamini ni hela ndogo sana…!!

Anyway, ngoja iendelee kunyesha ili tujue panapovuja…!!!!
 
Hapo ndipo naposema Fei kachezewa mchezo kimsingi Fei na Aziz wasingeweza Kaa pamoja au kusema mmoja awe benchi mwingine acheze ikapigwa chess Moja hatari ya namna ya kumuondoa bila ya kujua au club kuchafuka mbele ya mashabiki kuwa imethamini mgeni kuliko mzawa fei kachezewa mchezo ambao alishindwa kuung'amua mapema
 
Kachezewa mchezo au mchezo kaucheza yeye mwenyewe. Inaamana Yanga ndio waioamua kujiingizia 110m kwenye acc yao?

Hii ingekuwa mbele lisingeisha tuu juu juu,wangetrace hizo 110m zimetoka kwa nani na hapo muhusika na club ambayo iliyotuma 110m wangekula ban yeye na hiyo club kupewa adhabu ya kutokusajili msimu mzima. Sema tu huku TFF wameamua liishie juu kwa juu,lkn walio nyuma ya Feisal wana fahamika.
 
Mwisho wa fei toto imefika kisoka ,hakuna namna nyingine ....

Kwenye hii nchi chunga Sana ,usije kuwa na mgogoro either Simba au yanga ,hakuna haki utakuja kupata hata kama unastahili .....

Over
**** wachezaji huumia na kukaa nje kwa mwaka mzima mf Aron Ramsey ila wakirudi wanakuwa moto.
 
Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa.

Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff kuhukumu swala lake. Ili aone ametendewa haki au kaonewa.

Tff wameacha kelele za mashabiki tu. Hakuna mtu ata moja anayejua Ni kwanini feitoto hakufata sharti la kuvunja mkataba.

Swala lake fei Yuko sahihi. Hapaswi kupelekwa kwa vitisho au kulazimishwa. Tff inajukumu la kufafanua vipengere walivyotumia kumbana ili akipitia ajue afanyaje. Sense kwa Yanga kuyamaliza au akate rufaa.

Tff imemjibu kihuni na haijawahi kufafanua popote vipengere walivyotumia kuamua swala lake na Hilo linamlazimisha feitoto kushurutishwa kufata asichokiamini.

Haki iliyocheleweshwa Ni haki iliyoporwa. Nasisitiza Tff wanapaswa kumpa feitoto mapitio ya kesi yake mapema zaidi ata Kama kunagharama zinahitajika aambiwe alipie
Kaka unaumia sana. Pole sana.
 
Hapo ndipo naposema Fei kachezewa mchezo kimsingi Fei na Aziz wasingeweza Kaa pamoja au kusema mmoja awe benchi mwingine acheze ikapigwa chess Moja hatari ya namna ya kumuondoa bila ya kujua au club kuchafuka mbele ya mashabiki kuwa imethamini mgeni kuliko mzawa fei kachezewa mchezo ambao alishindwa kuung'amua mapema
Hili nililiwaza muda tu...fei kapigwa shakizi.
 
Mlivyosimangwa mmemtelekeza baada ya kumpotosha ndo mnaibuka kama Kunguru?
Tuache ushabiki na maisha ya watu. Kama unajua kwanini feitoto hawezi kuununua mkataba kupitia kipengere kilichopo kwenye mkataba uje useme hapa. Naamini feitoto angekuwa sio mtanzania angepata haki yake sio ujanja ujanja tu
 
Ulishadadia Sana hii ishu, ilivyobuma ukala kona

Leo mmesemwa eti unakuja kujikosha

Wewe jamaa una dhambi Sana kumlostisha Fei. Tubu na omba radhi kwa Mungu wako. Mmempotosha Sana huyu mtoto sababu ya ushabiki wenu maandazi
Tuzungumze kwa haki apa tuache ushabiki. Unazani feitoto angekuwa sio mtanzania angpewa haki zake anazostaili. Sema Tff pia wamejichukulia Kama wao ndio baba zake hawataki kufafanua lolote kwake.

Hapa sisemi kuwa hukumu haiko sawa au sio sawa Bali Tff kufafanua vifungu walivyotumia kumbana ili ajue Cha kufanya Ni kitu muhimu kwenye haki yake
 
Kajichezea mwenyewe. Na asipoangalia atapotea mazima kisoka.

Yanga au Simba ni kama MABOSI WA SOKA hapa bongo. Na BOSI HANUNIWI mkuu…!!! Kuna muda unatakiwa uwe mpole tu ili mambo yaende…!! Asipoangalia ATAPOTEA KISOKA kwa sababu Yanga wakiamua kukaza mpaka hyo 2024, kisoka hataonekana kuwa na mchango wowote regardless ya mshahara wa kila mwezi wanaomlipa ambao kwa Yanga naamini ni hela ndogo sana…!!

Anyway, ngoja iendelee kunyesha ili tujue panapovuja…!!!!
Acha anyooshwe.
 
Acha anyooshwe.
Watumie haki Basi. Wampe pitio la hukumu. Media zote zimekumbwa na ushabiki hakuna anayetaka kujua swala lake kiundani. Na Tff haifafanui. Huu Ni uhuni. Na wakati anaweka kipengere Cha kununua mkataba wake Alijua anachokifanya.

Tff kwanini inamuhujumu feisal.
 
Kwahiyo ukiandika huku mtandaoni nyuzi nyingi ndo haki ya Feisal itapatikana?
 
Back
Top Bottom