muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Bado upo na mambo ya Feisal?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha ushabiki, unajianika SanaWatumie haki Basi. Wampe pitio la hukumu. Media zote zimekumbwa na ushabiki hakuna anayetaka kujua swala lake kiundani. Na Tff haifafanui. Huu Ni uhuni. Na wakati anaweka kipengere Cha kununua mkataba wake Alijua anachokifanya.
Tff kwanini inamuhujumu feisal.
Mchezo huo mchezo gani, mbona hufunguki?Hapo ndipo naposema Fei kachezewa mchezo kimsingi Fei na Aziz wasingeweza Kaa pamoja au kusema mmoja awe benchi mwingine acheze ikapigwa chess Moja hatari ya namna ya kumuondoa bila ya kujua au club kuchafuka mbele ya mashabiki kuwa imethamini mgeni kuliko mzawa fei kachezewa mchezo ambao alishindwa kuung'amua mapema
Ufafanuliwe ww kama nani wakati wahusika tayari washafafanuliwa na kupewa nakala, wao Kama wanahisi wameonewa CAS ipo waende huko.Tuzungumze kwa haki apa tuache ushabiki. Unazani feitoto angekuwa sio mtanzania angpewa haki zake anazostaili. Sema Tff pia wamejichukulia Kama wao ndio baba zake hawataki kufafanua lolote kwake.
Hapa sisemi kuwa hukumu haiko sawa au sio sawa Bali Tff kufafanua vifungu walivyotumia kumbana ili ajue Cha kufanya Ni kitu muhimu kwenye haki yake
Chukua hatua stahiki, sio kuja kulia lia huku mitandaoni.Watumie haki Basi. Wampe pitio la hukumu. Media zote zimekumbwa na ushabiki hakuna anayetaka kujua swala lake kiundani. Na Tff haifafanui. Huu Ni uhuni. Na wakati anaweka kipengere Cha kununua mkataba wake Alijua anachokifanya.
Tff kwanini inamuhujumu feisal.
Ina maana hilo jopo la wanasheria wa Fei ,TFF hawakukiona hicho kipengele cha kununua mkataba?Watumie haki Basi. Wampe pitio la hukumu. Media zote zimekumbwa na ushabiki hakuna anayetaka kujua swala lake kiundani. Na Tff haifafanui. Huu Ni uhuni. Na wakati anaweka kipengere Cha kununua mkataba wake Alijua anachokifanya.
Tff kwanini inamuhujumu feisal.
Ukitaka kujua kuna mashabiki wanaabudu viongozi kwa mwavuli wa timu fuatilia sakata la Fei. Inawezekana kabisa viongozi wa Yanga wanatumia nguvu kubwa kumshawishi fei arudi ila huku nje hawasemi kama ambavyo hawakuwa wakisema fei anapigania maslahi yake pasipo mafanikio kabla hajaamua kuachana na mpira kwa muda kama njia ya kupigania maslahi.
Mashabiki hawawahoji viongozi kwann Fei hakuwa na mkataba mzuri, kama mliweza mrudisha morison kwa mkataba mzuri kwann hamkuweza kuboresha mkataba wa Fei? Badala yake mashabiki wanachoomba sasa hivi ni Fei akae nje mpaka apotee kwenye soka. Hata hawajiulizi, hivi kwa muda fei aliocheza Yanga, hakustahili kuonekana kabla hata ya kina Morison? Ni kweli hakujitoa vya kutosha kwa Yanga? Hajawapa furaha wanayanga? Ni kweli hakuanza kupigania maslahi yake ndani ya Yanga kabla hajatoka?
Fei hata ikitokea akaa benchi mpaka mkataba ukaisha, bado wenye mapenzi mema na vipaji vya soka watamuombea awe na kiwango bora kwa maslahi ya kipato chake na timu ya taifa. Na uzuri hajabweteka, anapambana na mazoezi.
Hakuna mtu asiyetaka maslahi mazuri. Fei alifanya alilofanya baada ya kuona loophole kwenye mkataba yenye viashiria vya kumwezesha kuyapata hayo maslahi baada ya kuyatafuta bila mafanikio. Kama amefeli kwa kufanya miscalculation ataface matokeo ya maamuzi yake. Uzuri pesa amepata hata Yanga wasipompa uhuru na kumshikilia, kwa kutumia pesa ameweza kuuvunja mkataba na bado hataki kurudi pamoja na kushawishiwa.Swala la kuboresha mkataba ni uwamuzi wa club. MANE aliomba Liverpool imboreshee mkataba wake,Liverpool ikakataa. Mane akasubiri mpaka mkataba wake umeisha akaondoka kwenda Bayern free.Bayern walimpa dau zuri la usaili na mshahara mkubwa.Hakuwahi kugomea mazoezi wala mechi kipindi chote alipokuwa anatumikia mkataba wale Liverpool.
Hata akikaa nje huko ila atarudi kuutumikia mkataba wake,still bado mkataba unamfunga.
Sasa kama kuna loophole why hakushinda kesi? Najua utasema Yanga wanamuonea, vipi Yanga kwa Morrissoni walionewa na mwanasheria alikuwa yuleyule aliyesimamaia kesi ya Morrison ndio mwanasheria ya Feisal.Hakuna mtu asiyetaka maslahi mazuri. Fei alifanya alilofanya baada ya kuona loophole kwenye mkataba yenye viashiria vya kumwezesha kuyapata hayo maslahi baada ya kuyatafuta bila mafanikio. Kama amefeli kwa kufanya miscalculation ataface matokeo ya maamuzi yake.
Jambo la ajabu sio fei kupigania maslahi, Jambo la ajabu ni maamuzi ya viongozi kubana maslahi yake huku wakitaka auzwe kwa bei ya juu sana isiyo na uhalisia wa thamani yake katika mkataba. Hata wewe ungekuwa ni Fei ungetafuta namna mbadala ya kuachana na viongozi wa aina hiyo.
Kama hichi sicho kilichotokea anayefahamu aseme ni nn kilimfanya Fei abadilike ghafla na kutaka kutoka, na kama ni kweli viongozi wa Yanga walishtukia tu Fei anataka kutoka bila kuzungumza nao.
SawaMchezo huo mchezo gani, mbona hufunguki?
Huyo kajilamba mwenyewe kwa ujinga wake.
Hamna jeuri yoyote zaidi ya Mwigulu, Fei kawagaragaza ndio maana hamkuweza hata kuonesha kipengele kimoja kwenye mkataba wake kilichombana, nyie ni mbumbumbu wa mikataba.Baada ya kuwasema ndiyo mmerudi eti kuja kujikosha. Mumshauri Dogo aache utoto. Afuate utaratibu! Kinyume na hapo, asubiri mpaka mkataba wake uishe 2024!
Na kwa jeuri, tutamlipa mshahara wake kila mwezi, ili akose kisingizio.
We unafikiri unaweza kaa tu mpaka mkataba uishe na ukaachwa tu kaka ule ni mtego fei anajimaliza yeye mwenyewe.Ukitaka kujua kuna mashabiki wanaabudu viongozi kwa mwavuli wa timu fuatilia sakata la Fei. Inawezekana kabisa viongozi wa Yanga wanatumia nguvu kubwa kumshawishi fei arudi ila huku nje hawasemi kama ambavyo hawakuwa wakisema fei anapigania maslahi yake pasipo mafanikio kabla hajaamua kuachana na mpira kwa muda kama njia ya kupigania maslahi.
Mashabiki hawawahoji viongozi kwann Fei hakuwa na mkataba mzuri, kama mliweza mrudisha morison kwa mkataba mzuri kwann hamkuweza kuboresha mkataba wa Fei? Badala yake mashabiki wanachoomba sasa hivi ni Fei akae nje mpaka apotee kwenye soka. Hata hawajiulizi, hivi kwa muda fei aliocheza Yanga, hakustahili kuonekana kabla hata ya kina Morison? Ni kweli hakujitoa vya kutosha kwa Yanga? Hajawapa furaha wanayanga? Ni kweli hakuanza kupigania maslahi yake ndani ya Yanga kabla hajatoka?
Fei hata ikitokea akaa benchi mpaka mkataba ukaisha, bado wenye mapenzi mema na vipaji vya soka watamuombea awe na kiwango bora kwa maslahi ya kipato chake na timu ya taifa. Na uzuri hajabweteka, anapambana na mazoezi.
Huna akili kiongozi! Unafikri hicho kipengele kinafanya kazi ovyo ovyo unapoamua mwenyewe? FIFA akili kubwa sana, kuna masharti yamewekwa ili ufikie kununua mkataba wako ni mpaka kuna matatizo na klabu yako kwa mfano hujalipwa mshahara kwa miezi 6 mfululizo, hupangwi kwenye mechi kwa muda mrefu pamoja na kwamba uko fit! Sasa niambie ni lini fei hajalipwa mshahara wake? Je, alikuwa hapati namba kwenye 1st 11? Tuache ujinga! Dogo kadanganywa vibaya sana!Tuache ushabiki na maisha ya watu. Kama unajua kwanini feitoto hawezi kuununua mkataba kupitia kipengere kilichopo kwenye mkataba uje useme hapa. Naamini feitoto angekuwa sio mtanzania angepata haki yake sio ujanja ujanja tu
Ntajaribu kwa upande wangu. Sio haki ya feitoto pekee Bali ya wachezaji wazawa dhidi ya klabu zetu kubwaKwahiyo ukiandika huku mtandaoni nyuzi nyingi ndo haki ya Feisal itapatikana?
Umeongea vitu vingi Sana Sasa kwanini Tff wasimpe ufafanuzi wa wazi wa vipengere vilivyombana. Na alivyokiuka zaidi ya kuwaacha watu waseme kishabiki tu. Au umeona hukumu ilivyofafanua kuwa kwanini kipengere husika hakiwezi kuvunja mkataba? Na wametumia kipengere kipi? Sio Ile shortcutHuna akili kiongozi! Unafikri hicho kipengele kinafanya kazi ovyo ovyo unapoamua mwenyewe? FIFA akili kubwa sana, kuna masharti yamewekwa ili ufikie kununua mkataba wako ni mpaka kuna matatizo na klabu yako kwa mfano hujalipwa mshahara kwa miezi 6 mfululizo, hupangwi kwenye mechi kwa muda mrefu pamoja na kwamba uko fit! Sasa niambie ni lini fei hajalipwa mshahara wake? Je, alikuwa hapati namba kwenye 1st 11? Tuache ujinga! Dogo kadanganywa vibaya sana!
Mbona utaratibu upo wazi kabisa kamq hujaridhika na maamuzi basi kata rufaaNtajaribu kwa upande wangu. Sio haki ya feitoto pekee Bali ya wachezaji wazawa dhidi ya klabu zetu kubwa
Mwa-City fan umeongea kwa uchungu sana [emoji28]Mwisho wa fei toto imefika kisoka ,hakuna namna nyingine ....
Kwenye hii nchi chunga Sana ,usije kuwa na mgogoro either Simba au yanga ,hakuna haki utakuja kupata hata kama unastahili .....
Over