Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

Watumie haki Basi. Wampe pitio la hukumu. Media zote zimekumbwa na ushabiki hakuna anayetaka kujua swala lake kiundani. Na Tff haifafanui. Huu Ni uhuni. Na wakati anaweka kipengere Cha kununua mkataba wake Alijua anachokifanya.

Tff kwanini inamuhujumu feisal.
Mkuu acha ushabiki, unajianika Sana

1. Unahisi inawezekana media zooote zinaweza kuwa na ushabiki wa mrengo mmoja?

2. Unajuaje Fei hajapewa mrejesho. Unataka apewe kwenye mitandao?

Usiseme TFF inamuhujumu Fei. Usihukumu!
 
Ukitaka kujua kuna mashabiki wanaabudu viongozi kwa mwavuli wa timu fuatilia sakata la Fei. Inawezekana kabisa viongozi wa Yanga wanatumia nguvu kubwa kumshawishi fei arudi ila huku nje hawasemi kama ambavyo hawakuwa wakisema fei anapigania maslahi yake pasipo mafanikio kabla hajaamua kuachana na mpira kwa muda kama njia ya kupigania maslahi.

Mashabiki hawawahoji viongozi kwann Fei hakuwa na mkataba mzuri, kama mliweza mrudisha morison kwa mkataba mzuri kwann hamkuweza kuboresha mkataba wa Fei? Badala yake mashabiki wanachoomba sasa hivi ni Fei akae nje mpaka apotee kwenye soka. Hata hawajiulizi, hivi kwa muda fei aliocheza Yanga, hakustahili kuonekana kabla hata ya kina Morison? Ni kweli hakujitoa vya kutosha kwa Yanga? Hajawapa furaha wanayanga? Ni kweli hakuanza kupigania maslahi yake ndani ya Yanga kabla hajatoka?

Fei hata ikitokea akaa benchi mpaka mkataba ukaisha, bado wenye mapenzi mema na vipaji vya soka watamuombea awe na kiwango bora kwa maslahi ya kipato chake na timu ya taifa. Na uzuri hajabweteka, anapambana na mazoezi.
 
Hapo ndipo naposema Fei kachezewa mchezo kimsingi Fei na Aziz wasingeweza Kaa pamoja au kusema mmoja awe benchi mwingine acheze ikapigwa chess Moja hatari ya namna ya kumuondoa bila ya kujua au club kuchafuka mbele ya mashabiki kuwa imethamini mgeni kuliko mzawa fei kachezewa mchezo ambao alishindwa kuung'amua mapema
Mchezo huo mchezo gani, mbona hufunguki?
Huyo kajilamba mwenyewe kwa ujinga wake.
 
Tuzungumze kwa haki apa tuache ushabiki. Unazani feitoto angekuwa sio mtanzania angpewa haki zake anazostaili. Sema Tff pia wamejichukulia Kama wao ndio baba zake hawataki kufafanua lolote kwake.

Hapa sisemi kuwa hukumu haiko sawa au sio sawa Bali Tff kufafanua vifungu walivyotumia kumbana ili ajue Cha kufanya Ni kitu muhimu kwenye haki yake
Ufafanuliwe ww kama nani wakati wahusika tayari washafafanuliwa na kupewa nakala, wao Kama wanahisi wameonewa CAS ipo waende huko.

Hushajiuliza why wanasheria wa Fei hawakutaka kuwafafanulia nyie nakala ya maamuzi ya mgogoro wao na Yanga?
 
Watumie haki Basi. Wampe pitio la hukumu. Media zote zimekumbwa na ushabiki hakuna anayetaka kujua swala lake kiundani. Na Tff haifafanui. Huu Ni uhuni. Na wakati anaweka kipengere Cha kununua mkataba wake Alijua anachokifanya.

Tff kwanini inamuhujumu feisal.
Chukua hatua stahiki, sio kuja kulia lia huku mitandaoni.
We unadhani kuja kulia huku ndio itamsaidia nini Feisal!
 
Watumie haki Basi. Wampe pitio la hukumu. Media zote zimekumbwa na ushabiki hakuna anayetaka kujua swala lake kiundani. Na Tff haifafanui. Huu Ni uhuni. Na wakati anaweka kipengere Cha kununua mkataba wake Alijua anachokifanya.

Tff kwanini inamuhujumu feisal.
Ina maana hilo jopo la wanasheria wa Fei ,TFF hawakukiona hicho kipengele cha kununua mkataba?

Wao kama wameonewa wasonge mbele CAS.
 
Ukitaka kujua kuna mashabiki wanaabudu viongozi kwa mwavuli wa timu fuatilia sakata la Fei. Inawezekana kabisa viongozi wa Yanga wanatumia nguvu kubwa kumshawishi fei arudi ila huku nje hawasemi kama ambavyo hawakuwa wakisema fei anapigania maslahi yake pasipo mafanikio kabla hajaamua kuachana na mpira kwa muda kama njia ya kupigania maslahi.

Mashabiki hawawahoji viongozi kwann Fei hakuwa na mkataba mzuri, kama mliweza mrudisha morison kwa mkataba mzuri kwann hamkuweza kuboresha mkataba wa Fei? Badala yake mashabiki wanachoomba sasa hivi ni Fei akae nje mpaka apotee kwenye soka. Hata hawajiulizi, hivi kwa muda fei aliocheza Yanga, hakustahili kuonekana kabla hata ya kina Morison? Ni kweli hakujitoa vya kutosha kwa Yanga? Hajawapa furaha wanayanga? Ni kweli hakuanza kupigania maslahi yake ndani ya Yanga kabla hajatoka?

Fei hata ikitokea akaa benchi mpaka mkataba ukaisha, bado wenye mapenzi mema na vipaji vya soka watamuombea awe na kiwango bora kwa maslahi ya kipato chake na timu ya taifa. Na uzuri hajabweteka, anapambana na mazoezi.

Swala la kuboresha mkataba ni uwamuzi wa club. MANE aliomba Liverpool imboreshee mkataba wake,Liverpool ikakataa. Mane akasubiri mpaka mkataba wake umeisha akaondoka kwenda Bayern free.Bayern walimpa dau zuri la usaili na mshahara mkubwa.Hakuwahi kugomea mazoezi wala mechi kipindi chote alipokuwa anatumikia mkataba wale Liverpool.

Hata akikaa nje huko ila atarudi kuutumikia mkataba wake,still bado mkataba unamfunga na mpaka sasa Yanga wamewandikia barua TFF hawajui Fei alipo ndipo uone wanakusanya vielelezo ya kwenda stage nyingine ya kudeal na Feisal KISHERIA.
 
Swala la kuboresha mkataba ni uwamuzi wa club. MANE aliomba Liverpool imboreshee mkataba wake,Liverpool ikakataa. Mane akasubiri mpaka mkataba wake umeisha akaondoka kwenda Bayern free.Bayern walimpa dau zuri la usaili na mshahara mkubwa.Hakuwahi kugomea mazoezi wala mechi kipindi chote alipokuwa anatumikia mkataba wale Liverpool.

Hata akikaa nje huko ila atarudi kuutumikia mkataba wake,still bado mkataba unamfunga.
Hakuna mtu asiyetaka maslahi mazuri. Fei alifanya alilofanya baada ya kuona loophole kwenye mkataba yenye viashiria vya kumwezesha kuyapata hayo maslahi baada ya kuyatafuta bila mafanikio. Kama amefeli kwa kufanya miscalculation ataface matokeo ya maamuzi yake. Uzuri pesa amepata hata Yanga wasipompa uhuru na kumshikilia, kwa kutumia pesa ameweza kuuvunja mkataba na bado hataki kurudi pamoja na kushawishiwa.

Jambo la ajabu sio fei kupigania maslahi, Jambo la ajabu ni maamuzi ya viongozi kubana maslahi yake huku wakitaka auzwe kwa bei ya juu sana isiyo na uhalisia wa thamani yake katika mkataba. Hata wewe ungekuwa ni Fei ungetafuta namna mbadala ya kuachana na viongozi wa aina hiyo.

Kama hichi sicho kilichotokea anayefahamu aseme ni nn kilimfanya Fei abadilike ghafla na kutaka kutoka, na kama ni kweli viongozi wa Yanga walishtukia tu Fei anataka kutoka bila kuzungumza nao.
 
Hakuna mtu asiyetaka maslahi mazuri. Fei alifanya alilofanya baada ya kuona loophole kwenye mkataba yenye viashiria vya kumwezesha kuyapata hayo maslahi baada ya kuyatafuta bila mafanikio. Kama amefeli kwa kufanya miscalculation ataface matokeo ya maamuzi yake.

Jambo la ajabu sio fei kupigania maslahi, Jambo la ajabu ni maamuzi ya viongozi kubana maslahi yake huku wakitaka auzwe kwa bei ya juu sana isiyo na uhalisia wa thamani yake katika mkataba. Hata wewe ungekuwa ni Fei ungetafuta namna mbadala ya kuachana na viongozi wa aina hiyo.

Kama hichi sicho kilichotokea anayefahamu aseme ni nn kilimfanya Fei abadilike ghafla na kutaka kutoka, na kama ni kweli viongozi wa Yanga walishtukia tu Fei anataka kutoka bila kuzungumza nao.
Sasa kama kuna loophole why hakushinda kesi? Najua utasema Yanga wanamuonea, vipi Yanga kwa Morrissoni walionewa na mwanasheria alikuwa yuleyule aliyesimamaia kesi ya Morrison ndio mwanasheria ya Feisal.

Au kwako ww uliona sawa tu sababu ilikiwa ni Yanga?

Acha unafiki .

Yanga sio kama haitaki kumuuza Feisal bali wanataka utaratibu ufuatwe basi ,umeingia mkataba kwa makubaliano na watu wawili basi hata ukivunjwa lazima watu wawili waliongia mkataba wahusike ndipo mkataba uvunjwe na si uhuni uhuni.

Brother shukuru soka letu sio kama mbele,ila ingekuwa kwa wenzetu ulaya baada ya maamuzi yale ya juzi,wangetrace zile hela zilitoka kwa nani 110m,baada ya hapo wahusika wangekula ban kwani huwezi kuzungumza na mchezaji ambaye bado anamkataba wa kuitumikia timu nyingine.

Kama wewe unaumia au mtu wa haki mbona hili la timu kuongea na mchezaji ambaye ana mkataba na timu nyingine halikuumi au kwakuwa ni Yanga.

ACHA UNAFIKI.
 
TFF hawana maana, wanatumika na wanasiasa kupora haki za mchezaji, hatuna shirikisho la mpira Tanzania, tuna shirikisho la wahuni wanaolinda maslahi ya wanasiasa..

Ukifuatilia hili suala step by step utaona vile TFF wamekuwa wakijikanyaga kuanzia mwanzo mpaka mwisho, wanaotetea huu ujinga ni mashabiki mandazi tu!.
 
Baada ya kuwasema ndiyo mmerudi eti kuja kujikosha. Mumshauri Dogo aache utoto. Afuate utaratibu! Kinyume na hapo, asubiri mpaka mkataba wake uishe 2024!

Na kwa jeuri, tutamlipa mshahara wake kila mwezi, ili akose kisingizio.
Hamna jeuri yoyote zaidi ya Mwigulu, Fei kawagaragaza ndio maana hamkuweza hata kuonesha kipengele kimoja kwenye mkataba wake kilichombana, nyie ni mbumbumbu wa mikataba.
 
Ukitaka kujua kuna mashabiki wanaabudu viongozi kwa mwavuli wa timu fuatilia sakata la Fei. Inawezekana kabisa viongozi wa Yanga wanatumia nguvu kubwa kumshawishi fei arudi ila huku nje hawasemi kama ambavyo hawakuwa wakisema fei anapigania maslahi yake pasipo mafanikio kabla hajaamua kuachana na mpira kwa muda kama njia ya kupigania maslahi.

Mashabiki hawawahoji viongozi kwann Fei hakuwa na mkataba mzuri, kama mliweza mrudisha morison kwa mkataba mzuri kwann hamkuweza kuboresha mkataba wa Fei? Badala yake mashabiki wanachoomba sasa hivi ni Fei akae nje mpaka apotee kwenye soka. Hata hawajiulizi, hivi kwa muda fei aliocheza Yanga, hakustahili kuonekana kabla hata ya kina Morison? Ni kweli hakujitoa vya kutosha kwa Yanga? Hajawapa furaha wanayanga? Ni kweli hakuanza kupigania maslahi yake ndani ya Yanga kabla hajatoka?

Fei hata ikitokea akaa benchi mpaka mkataba ukaisha, bado wenye mapenzi mema na vipaji vya soka watamuombea awe na kiwango bora kwa maslahi ya kipato chake na timu ya taifa. Na uzuri hajabweteka, anapambana na mazoezi.
We unafikiri unaweza kaa tu mpaka mkataba uishe na ukaachwa tu kaka ule ni mtego fei anajimaliza yeye mwenyewe.

Maslahi bora ya fei na viongozi ni wao na yapo kwenye mkataba aende akaongee either wayaboreshe au auvunje mkataba kulingana na vipengele na maslahi kwa kila upande
 
Tuache ushabiki na maisha ya watu. Kama unajua kwanini feitoto hawezi kuununua mkataba kupitia kipengere kilichopo kwenye mkataba uje useme hapa. Naamini feitoto angekuwa sio mtanzania angepata haki yake sio ujanja ujanja tu
Huna akili kiongozi! Unafikri hicho kipengele kinafanya kazi ovyo ovyo unapoamua mwenyewe? FIFA akili kubwa sana, kuna masharti yamewekwa ili ufikie kununua mkataba wako ni mpaka kuna matatizo na klabu yako kwa mfano hujalipwa mshahara kwa miezi 6 mfululizo, hupangwi kwenye mechi kwa muda mrefu pamoja na kwamba uko fit! Sasa niambie ni lini fei hajalipwa mshahara wake? Je, alikuwa hapati namba kwenye 1st 11? Tuache ujinga! Dogo kadanganywa vibaya sana!
 
Umeongea vitu vingi Sana Sasa kwanini Tff wasimpe ufafanuzi wa wazi wa vipengere vilivyombana. Na alivyokiuka zaidi ya kuwaacha watu waseme kishabiki tu. Au umeona hukumu ilivyofafanua kuwa kwanini kipengere husika hakiwezi kuvunja mkataba? Na wametumia kipengere kipi? Sio Ile shortcut
 
Back
Top Bottom