silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
HDI kwa kifupi inaangalia Afya na umri wa wananchi , pamoja na ubora wa maisha wanayoishi. Pia ndio inayopima kama taifa limeendelea au liko chini.
Kwa sasa Tanzania iko katika kundi la chini kabisa nafasi ya 163 , kinachoshangaza hata Comoro na Uganda wametupita.
Kwa haraka tu nadhani Watz tuna mzigo mkubwa wa kodi maisha yanakua ghali. Kodi ambazo asilimia kubwa zinahudumia tu Serikali na sio huduma za maendeleo