Licha ya kuongoza kutoa wasomi wengi, ni kwanini Mwanza makao makuu ya kanda ya ziwa hawana Vyuo vikuu vya serikali

Unaposema mwanza ina wasomi wengi una maanisha nini?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mwanza ina wasomi wengi tangu lini?

Wasomi wapo

1.kilimanjaro
2.kagera
3.mbeya
 
Mwanza ina wasomi wengi tangu lini?

Wasomi wapo

1.kilimanjaro
2.kagera
3.mbeya
Mwanza tunazungumzia kisiwa cha ukerewe, kuna nyomi la maprofesa huko,

Umesahau Mara hapo mkuu, Huo mkoa kwao nako kuna wasomi wa kutosha hasa wajita, wajaluo na wazanaki

uchaguzi wa musoma vijijini 2020 waliotia nia

Prof Keregero
Prof Kaswamila
Prof Biswalo
Prof Mujungu
Prof Kambarage
Prof Masamba
Prof Mhongo
 
shida watu wakutokea huko huwa hatupendi kusaidiana
Kweli kabisa na hawataki kujuana unaweza skia kabisa hii lafudhi ya kanda yetu kabisa kabisa ina akakataa au akapoteza haswa Mkoa wa mara wengi wapo hivo ispokuwa wajaluo na wakurya kidogo ila the rest madaharau majivuno na nkupenda kuabudiwa kama Miungu watu kujiskia ss wajita ni balaa
 
Mziki sio wa kitoto mkoa wa Mara, kuna nyuzi kadhaa nimeona kwamba huu mkoa upo top 5 kwa wasomi

uchaguzi wa musoma vijijini 2020 waliotia nia

Prof Keregero
Prof Kaswamila
Prof Biswalo
Prof Mujungu
Prof Kambarage
Prof Masamba
Prof Mhongo
 
Kuna siku nilisikia Mkenda akisema serikali ina mpango wa kujenga chuo au matawi ya chuo kikuu kila mkoa.

Siyo mwanza tu kukosa chuo kikuu cha serikali, kuna mikoa haina hata matawi ya vyuo vikuu vya private, hilo unalizungumziaje?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
afu umkute mambo yamenyooka hahahha wanakuaga na kujiona balaa
 
no research no right to speak, acha kuishi kwa hisia. Sasa km unavyodai wengi wamesoma wamesomea vyup vilivyoko wapi. Acheni ubaguzi wa kikanda ni upumbavu ktkt karne hii.
 
Vyuo vikuu vya serikali!
Ooh...Kanda ya Ziwa hakuna ata kimoja...sasa nashangaa wanaongoza kwa kutoa wasomi wengi... inawezekana labda serikali haijaona umuhimu kuwekeza katika Elimu ya juu Kanda ya Ziwa, lakini nahisi kuna shule nyingi sana za serikali,za vidato vyote.
 
no research no right to speak, acha kuishi kwa hisia. Sasa km unavyodai wengi wamesoma wamesomea vyup vilivyoko wapi. Acheni ubaguzi wa kikanda ni upumbavu ktkt karne hii.

Hili nalo linahitaji ufanye reasearch gani ? We taja tu chuo kikuu cha serikali kilichoko kanda hiyo nasi tukijue
 
SAUT
 
Hata hao wasomi (drs. na profs.) wengi wa ukerewe wana asili ya mkoa wa Mara hasa kabila la wajita na subtribes zake (wakara na waruri ). Anayebisha afanye utafiti wake halafu aje hapa na majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…