jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Watajenga wakijiskia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposema mwanza ina wasomi wengi una maanisha nini?Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka
Kagera
Mara
Mwanza (Kinara ni kisiwa cha ukerewe)
Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwaninini
Dar kuna UDSM
Dodoma kuna Udom
Mbeya kuna MUST na tawi la Mzumbe
Kwanini Mwanza haina chuo kikuu ?
Soma uzi kwa kuelewa kwanzaUnaposema mwanza ina wasomi wengi una maanisha nini?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Kumbe unasikia? Nilidhani una ushahidi.Ukerewe ndo nasikia kuna wasomi wengi japo hawajengi kwao
Mwanza tunazungumzia kisiwa cha ukerewe, kuna nyomi la maprofesa huko,Mwanza ina wasomi wengi tangu lini?
Wasomi wapo
1.kilimanjaro
2.kagera
3.mbeya
Kweli kabisa na hawataki kujuana unaweza skia kabisa hii lafudhi ya kanda yetu kabisa kabisa ina akakataa au akapoteza haswa Mkoa wa mara wengi wapo hivo ispokuwa wajaluo na wakurya kidogo ila the rest madaharau majivuno na nkupenda kuabudiwa kama Miungu watu kujiskia ss wajita ni balaashida watu wakutokea huko huwa hatupendi kusaidiana
Mziki sio wa kitoto mkoa wa Mara, kuna nyuzi kadhaa nimeona kwamba huu mkoa upo top 5 kwa wasomiKweli kabisa na hawataki kujuana unaweza skia kabisa hii lafudhi ya kanda yetu kabisa kabisa ina akakataa au akapoteza haswa Mkoa wa mara wengi wapo hivo ispokuwa wajaluo na wakurya kidogo ila the rest madaharau majivuno na nkupenda kuabudiwa kama Miungu watu kujiskia ss wajita ni balaa
CBE na IFM viondoe hapo, sio vyuo vikuu.Ila siku hizi kuna Matawi ya hivyo vyuo vikuu! Mzumbe, IRDP, IFM, CBE n.k
afu umkute mambo yamenyooka hahahha wanakuaga na kujiona balaaKweli kabisa na hawataki kujuana unaweza skia kabisa hii lafudhi ya kanda yetu kabisa kabisa ina akakataa au akapoteza haswa Mkoa wa mara wengi wapo hivo ispokuwa wajaluo na wakurya kidogo ila the rest madaharau majivuno na nkupenda kuabudiwa kama Miungu watu kujiskia ss wajita ni balaa
Hivi SAUT Kiko Mara au Shinyanga!?
Kwani mada inasemaje?!Ni cha kanisa sio Gov
Kwani mada inasemaje?!
no research no right to speak, acha kuishi kwa hisia. Sasa km unavyodai wengi wamesoma wamesomea vyup vilivyoko wapi. Acheni ubaguzi wa kikanda ni upumbavu ktkt karne hii.Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka
Kagera
Mara
Mwanza (Sehemu yenye wasomi zaidi ni kisiwa cha ukerewe)
Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwaninini
Dar kuna UDSM
Dodoma kuna Udom
Mbeya kuna MUST na tawi la Mzumbe
Kwanini Mwanza haina chuo kikuu ?
Ooh...Kanda ya Ziwa hakuna ata kimoja...sasa nashangaa wanaongoza kwa kutoa wasomi wengi... inawezekana labda serikali haijaona umuhimu kuwekeza katika Elimu ya juu Kanda ya Ziwa, lakini nahisi kuna shule nyingi sana za serikali,za vidato vyote.Vyuo vikuu vya serikali!
no research no right to speak, acha kuishi kwa hisia. Sasa km unavyodai wengi wamesoma wamesomea vyup vilivyoko wapi. Acheni ubaguzi wa kikanda ni upumbavu ktkt karne hii.
SAUTUnapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka
Kagera
Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe)
Mara
Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ?
Dar kuna UDSM na mkoa wa karibu Morogoro kuna chuo cha Mzumbe na Sokoine
Dodoma kuna UDOM
Mbeya kuna MUST na tawi la Mzumbe
Kwanini Mwanza haina chuo kikuu ?
Hata hao wasomi (drs. na profs.) wengi wa ukerewe wana asili ya mkoa wa Mara hasa kabila la wajita na subtribes zake (wakara na waruri ). Anayebisha afanye utafiti wake halafu aje hapa na majibu.Mwanza tunazungumzia kisiwa cha ukerewe, kuna nyomi la maprofesa huko,
Umesahau Mara hapo mkuu, Huo mkoa kwao nako kuna wasomi wa kutosha hasa wajita, wajaluo na wazanaki
uchaguzi wa musoma vijijini 2020 waliotia nia
Prof Keregero
Prof Kaswamila
Prof Biswalo
Prof Mujungu
Prof Kambarage
Prof Masamba
Prof Mhongo