Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi namimi usinisahau kwenye ufalme wako mkuuHuu mwaka haupiti hiv hiv mkuu
kwa hiyo unataka kusema kanakunjwa kunjwa , kanachezwa kama mpira na sister fey ila itakuwa kweliiiMwanaume kupambana Beira na sio kulelewa.
Sina hakika na huko kufaidi kama unavyosema au kuona akifanyiwa hadharani sababu waeza kuta nyuma ya pazia anayofanyishwa ni bora angejitafutia saizi yake.
Khaah......We dogo acha kujidhalilisha na kudhalilisha field ya Engineering.
We umesoma Engineering kabisa (japo ni ya SJUIT) halafu unakalia kuandika nyuzi za udaku ku-discuss maisha ya watu.
Engineers majukwaa yetu ni mawili tu humu.
1. Tech, Science and Gadgets
2. Education forum
3. Matangazo Madogo Madogo
Mambo ya udaku waaachie walosooma HKL kama kina FRESHMAN, Humble African na General Mangi
mkuuu ulikuwa wapi mfugaji nahuja alikuwa anatafuta wa kumfuga kiben11 sijui keshapata embu mchekiii mkuu au mtag kabisaaaKupambana tunapambana hajar lakin zar kama hilo likinidondekea siliach mtu wangu
Nyimbo ya kukutia moyo Jaguar huu mwaka lizima nipateee kama njau umemupa na fulani umemupa lazima na mi nipateee in jaguar voiceHuu mwaka haupiti hiv hiv mkuu
Mfano hai ulikuwepo kwa Shilole na Viben 10 vyake kila siku alikuwa anavipiga vibao tena hadharani kabisa.kwa hiyo unataka kusema kanakunjwa kunjwa , kanachezwa kama mpira na sister fey ila itakuwa kweliii
😂😂
Hahahaaaa. Nakubaliana na weye ni hasara hasaa sababu wataishia kuwekwa ndani tu.Mwanaume ukishaanza kuwaza kuwa kiben ten ni hasara kwa Taifa[emoji23]
Aroo nyinyi wakupelekwa Depo
nimekuelewa ndugu inabidi kuwe na haki za viben10Mfano hai ulikuwepo kwa Shilole na Viben 10 vyake kila siku alikuwa anavipiga vibao tena hadharani kabisa.
Ni wachache wanaomiliki vitoto na wakaacha kuvinyanyasa Mkuu.
Mie wala sishauri ziwepo kwa kweli.nimekuelewa ndugu inabidi kuwe na haki za viben10