Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Tabu ikizidi ujue raha inakaribia,haya ni mapito tu,nawe uwa unatembelea huko insta kwa cster fey?Acha tu Mdogo wangu nilitaka kulia aiseee.
Ila kwa hali iliyopo tulistahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabu ikizidi ujue raha inakaribia,haya ni mapito tu,nawe uwa unatembelea huko insta kwa cster fey?Acha tu Mdogo wangu nilitaka kulia aiseee.
Ila kwa hali iliyopo tulistahili.
Ndio Beira. Sababu yanakuwaga na wivu hayo na anahisi ukitoka nje utaibwa na vijana wenzio. Hahahaaa.Hahahaaaaa et tutaishia kuwekwa ndan
Nami naamini hivyo japo yaweza kuchelewa Swahiba mpaka ukakata tamaa.Tabu ikizidi ujue raha inakaribia,haya ni mapito tu,nawe uwa unatembelea huko insta kwa cster fey?
Mie nilitaka kumjibu lakini nikakosa cha kuandika nikaamua kuacha tu... Anaona yeye no so special sasa sijui kwanini alikuja kuchangia huo uzi anaouponda. Watanzania bana tena tuliozaliwa vijijini tukapata a elimu tunatabi sana.Kwa hiyo ukisoma Engineering hapaswi kuwa na mtazamo tofauti na wako? Hapaswi kuwaza na kufikili nje ya field yake? Unafikiri kwa utaratibu huo kila facult inapaswa kuwa na dunia yake sasa.
Sitaki Kuamini Kama Huyu Beira Kasoma Engineering..We dogo acha kujidhalilisha na kudhalilisha field ya Engineering.
We umesoma Engineering kabisa (japo ni ya SJUIT) halafu unakalia kuandika nyuzi za udaku ku-discuss maisha ya watu.
Engineers majukwaa yetu ni mawili tu humu.
1. Tech, Science and Gadgets
2. Education forum
3. Matangazo Madogo Madogo
Mambo ya udaku waaachie walosooma HKL kama kina FRESHMAN, Humble African na General Mangi
Haya swahibaNami naamini hivyo japo yaweza kuchelewa Swahiba mpaka ukakata tamaa.
Hapana huwa nasoma humu humu hizo habari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ahsante sanaWe dogo acha kujidhalilisha na kudhalilisha field ya Engineering.
We umesoma Engineering kabisa (japo ni ya SJUIT) halafu unakalia kuandika nyuzi za udaku ku-discuss maisha ya watu.
Engineers majukwaa yetu ni mawili tu humu.
1. Tech, Science and Gadgets
2. Education forum
3. Matangazo Madogo Madogo
Mambo ya udaku waaachie walosooma HKL kama kina FRESHMAN, Humble African na General Mangi
Mkuu kwani kuna mtu amekulazimisha kuamini?Sitaki Kuamini Kama Huyu Beira Kasoma Engineering..