Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
wewe ni Beira Baby Boy?Mkuu kwani kuna mtu amekulazimisha kuamini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni Beira Baby Boy?Mkuu kwani kuna mtu amekulazimisha kuamini?
Heshima yako asee..Hahahaaaa mkuu kwanini huamin
uliwezaje kuitoa?Ndo mimi sema ile baby niliitoa nikabakisha beira boy
shangingi flan la mjinSista fay ni nan boss ?
Jf ni an open forums ukisha weka comment basi kila mtu ana haki ya kuichangia.wewe ni Beira Baby Boy?
Well Asnwered!Jf ni an open forums ukisha weka comment basi kila mtu ana haki ya kuichangia.
Umenena vyemaMwanaume kupambana Beira na sio kulelewa.
Sina hakika na huko kufaidi kama unavyosema au kuona akifanyiwa hadharani sababu waeza kuta nyuma ya pazia anayofanyishwa ni bora angejitafutia saizi yake.
Ahsante Kaka.Umenena vyema
Ah ah ah ahFey akivaa yale magauni yake mapana tu aissee yule mtoto mpaka aje kuchomoka hapo heeee maana nahisi usiku anakamuliwa vibayaa
Sasa mhandisi na wewe unafanya nini huku?We dogo acha kujidhalilisha na kudhalilisha field ya Engineering.
We umesoma Engineering kabisa (japo ni ya SJUIT) halafu unakalia kuandika nyuzi za udaku ku-discuss maisha ya watu.
Engineers majukwaa yetu ni mawili tu humu.
1. Tech, Science and Gadgets
2. Education forum
3. Matangazo Madogo Madogo
Mambo ya udaku waaachie walosooma HKL kama kina FRESHMAN, Humble African na General Mangi
darasa la mwaka gani ili mkuu... ina wezekana namfahamu huyu kiumbe... mzinguaji humuWe dogo acha kujidhalilisha na kudhalilisha field ya Engineering.
We umesoma Engineering kabisa (japo ni ya SJUIT) halafu unakalia kuandika nyuzi za udaku ku-discuss maisha ya watu.
Engineers majukwaa yetu ni mawili tu humu.
1. Tech, Science and Gadgets
2. Education forum
3. Matangazo Madogo Madogo
Mambo ya udaku waaachie walosooma HKL kama kina FRESHMAN, Humble African na General Mangi
Mimi naona ni ulimbukeni na elimu ya ujanjajanja kwenye vyumba vya mitihani, maana sifa kubwa ya ELIMU ni kuheshimu mawazo ya wengine pia.Mie nilitaka kumjibu lakini nikakosa cha kuandika nikaamua kuacha tu... Anaona yeye no so special sasa sijui kwanini alikuja kuchangia huo uzi anaouponda. Watanzania bana tena tuliozaliwa vijijini tukapata a elimu tunatabi sana.