Licha ya kuwa kiben 10 ila dogo anafaid sana aisee

Mwanaume kupambana Beira na sio kulelewa.

Sina hakika na huko kufaidi kama unavyosema au kuona akifanyiwa hadharani sababu waeza kuta nyuma ya pazia anayofanyishwa ni bora angejitafutia saizi yake.
kwa hiyo unataka kusema kanakunjwa kunjwa , kanachezwa kama mpira na sister fey ila itakuwa kweliii
😂😂
 
Khaah......

Sawa tanzania one [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kupambana tunapambana hajar lakin zar kama hilo likinidondekea siliach mtu wangu
mkuuu ulikuwa wapi mfugaji nahuja alikuwa anatafuta wa kumfuga kiben11 sijui keshapata embu mchekiii mkuu au mtag kabisaaa
nahuja si maneno yangu nimejikuta tuu naandika 😂
 
kwa hiyo unataka kusema kanakunjwa kunjwa , kanachezwa kama mpira na sister fey ila itakuwa kweliii
😂😂
Mfano hai ulikuwepo kwa Shilole na Viben 10 vyake kila siku alikuwa anavipiga vibao tena hadharani kabisa.

Ni wachache wanaomiliki vitoto na wakaacha kuvinyanyasa Mkuu.
 
Dogo hafaidi dogo clip zote nlizo ziona dogo anatumika sana kwa sister fey anapata tabu sana dogo
 
Mfano hai ulikuwepo kwa Shilole na Viben 10 vyake kila siku alikuwa anavipiga vibao tena hadharani kabisa.

Ni wachache wanaomiliki vitoto na wakaacha kuvinyanyasa Mkuu.
nimekuelewa ndugu inabidi kuwe na haki za viben10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…