Licha ya kuwa kiben 10 ila dogo anafaid sana aisee

Kwa hiyo ukisoma Engineering hapaswi kuwa na mtazamo tofauti na wako? Hapaswi kuwaza na kufikili nje ya field yake? Unafikiri kwa utaratibu huo kila facult inapaswa kuwa na dunia yake sasa.
Mie nilitaka kumjibu lakini nikakosa cha kuandika nikaamua kuacha tu... Anaona yeye no so special sasa sijui kwanini alikuja kuchangia huo uzi anaouponda. Watanzania bana tena tuliozaliwa vijijini tukapata a elimu tunatabi sana.
 
Sitaki Kuamini Kama Huyu Beira Kasoma Engineering..
 
Mm nawaona wakula tuu muda wote cjui wanafanya kaz saa ngapi ila ametafuta sana kiki mpk ameipata
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ahsante sana
 
Maisha kweli hayana maana yani wengine wanawaza lini atasukuma BMW Mwingine anawaza na kutamani kulelewa na lijimama mnawaita kiben10
 
Kwa hiyo ukisoma Engineering hapaswi kuwa na mtazamo tofauti na wako? Hapaswi kuwaza na kufikili nje ya field yake? Unafikiri kwa utaratibu huo kila facult inapaswa kuwa na dunia yake sasa.
Shangaa na wewe
 
Ndio Beira. Sababu yanakuwaga na wivu hayo na anahisi ukitoka nje utaibwa na vijana wenzio. Hahahaaa.
Ahahaaaaaa kwahiyo yanaogopa kuibiwa na vijana wabichi ahahaaaaa yaaan wewe ulijuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…