Licha ya kuwa kiben 10 ila dogo anafaid sana aisee

For a man, its a shame to aspire to be a kept one.
 
Sasa mhandisi na wewe unafanya nini huku?

Dah kumbe na mimi nimecomment... ngoja nirudi zangu workshop.
 
darasa la mwaka gani ili mkuu... ina wezekana namfahamu huyu kiumbe... mzinguaji humu
 
Mie nilitaka kumjibu lakini nikakosa cha kuandika nikaamua kuacha tu... Anaona yeye no so special sasa sijui kwanini alikuja kuchangia huo uzi anaouponda. Watanzania bana tena tuliozaliwa vijijini tukapata a elimu tunatabi sana.
Mimi naona ni ulimbukeni na elimu ya ujanjajanja kwenye vyumba vya mitihani, maana sifa kubwa ya ELIMU ni kuheshimu mawazo ya wengine pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…