Licha ya kuwa kiben 10 ila dogo anafaid sana aisee

Licha ya kuwa kiben 10 ila dogo anafaid sana aisee

We dogo acha kujidhalilisha na kudhalilisha field ya Engineering.
We umesoma Engineering kabisa (japo ni ya SJUIT) halafu unakalia kuandika nyuzi za udaku ku-discuss maisha ya watu.
Engineers majukwaa yetu ni mawili tu humu.
1. Tech, Science and Gadgets
2. Education forum
3. Matangazo Madogo Madogo

Mambo ya udaku waaachie walosooma HKL kama kina FRESHMAN, Humble African na General Mangi

I hope hizo thread za udaku za Engineer mwenzako (ikiwemo hii) unazisomea huko Tech, Science and Gadgets; Education Forum na Matangazo Madogo Madogo... otherwise nawe unaingia majukwaa yasiyo yako!!!
 
I hope hizo thread za udaku za Engineer mwenzako (ikiwemo hii) unazisomea huko Tech, Science and Gadgets; Education Forum na Matangazo Madogo Madogo... otherwise nawe unaingia majukwaa yasiyo yako!!!
Dah mkuu mbona kama umepanic
 
Back
Top Bottom