adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Hata mimi sipendi watu wajue kama nina akaunti Jf ndio maana hata app naogopa kuidownload nahofia kujua kuwa mimi ni Jf member .Watu wengi wakiwa nje ya JF hawapendi kujionyesha kua wanaijua JF
Ila ukweli ni kwamba wanaijua JF vizuri sana,
sio kila anayekwambia kua haijui JF basi ni kweli kua haijui.