Licha ya kwamba vijana wanaaswa kulinda migongo yao, wengi wao wanainadi migongo yao kwa bei sawa na bure.

Ila siku hizi watu sijui wamekuaje au ni mimi tu ndo naona hivi, watu wanapenda sana kuomba omba yani kuomba sio dharura tena ni kama tabia.

Unakuta kijana shababi kabisa na nguvu zake eti " naomba jero ya nauli" "naomba buku nikale" 🤔
 
Ila siku hizi watu sijui wamekuaje au ni mimi tu ndo naona hivi, watu wanapenda sana kuomba omba yani kuomba sio dharura tena ni kama tabia.

Unakuta kijana shababi kabisa na nguvu zake eti "sista naomba jero ya nauli" "naomba buku nikale" 🤔
Hao ni ******* wanaona raha kupindishwa mgongo na dudu na wanawadharau waopindishwa mgongo na jembe/ kilimo
 
Wanafahamiana mbn kamtaja jina kingine control number ndiyo kila kitu hana basi hajui hata kutapeli cc Poor Brain kijana wa AM grains
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…