Asiige tabia yako ileeee (.....)Kuwa na misimamo ya kimaisha haswaa suala la fedha, ili asije kuharibu nilichokitafuta kwa jasho na mahangaiko mengi.
πππ ipi? Alafu hiyo avatar ya Ringo imenisumbua kukujua, nikajua tajiri kaenda Dubai kufunga mzigo bila kuniaga namna gani tena??Asiige tabia yako ileeee (.....)