Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
I know am not perfect na sio kama najisifia humu ila mwanangu akifata hulka yangu ya uchapakazi katika nyanja ya kazi za kawaida na zile za uchumi itakuwa bonge la blessing sana kwangu.

Vipi kwa upande wako, ungependa mwanao afuate tabia, mwenendo au hulka gani nzuri uliyonayo?

Karibuni.

a19ebf48b38e48c02b82cec82240e588.jpg
 
Awe na huruma kidogo yaani apate daraja F kwenye somo la huruma. Awe jasiri kama simba, asiogope chochote chini ya jua zaidi ya hatari za akili yake.
Atumie rasilimali za dunia kadiri itakavyompendeza, awe dalali wa mawazo na nyenzo za kubadilisha mwelekeo na mtazamo wa binadamu.
 
Upendo na heshima Kwa kilamtu,
Uwezo wa kupambana na changamoto za kimaisha na kutafuta akirith hivo ametoboa
Neuro njoo ujazie mdogowangu ankowako arithi nn😀😀😀
 
Back
Top Bottom