Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Putin alimtumia Marekani barua kwamba akiendelea kusaidia Ukraine kijeshi asubiri kitakachotokea, Marekani amejibu kwa kutoa msaada wa kufa mtu, dola milioni 800 sio mchezo aki ya nani huu ni uchokozi, masheikh wa JF pro Putin brigade hii imekaa vipi.

===========

With a Russian offensive is considered likely in eastern Ukraine's war-torn Donbass region, Washington earmarked heavier weapons for Kyiv as President Joe Biden approved a new military aid package including equipment worth $800 million.

The Ukrainians will receive artillery from the U.S. for first time, in addition to armored personnel carriers, armored Humvees, naval drone vessels used in coastal defense, and gear and equipment used to protect soldiers in chemical, biological, nuclear and radiological attacks.

"This new package of assistance will contain many of the highly effective weapons systems we have already provided and new capabilities tailored to New $800 million US military aid to Ukraine includes howitzers
 
Mkuu punguza nyuzi zisizo na msingi, Moderator tafadhari jitahidini kusafisha au kuunganisha nyuzi ambazo zinaweza tolewa taarifa katika Uzi mkuu.
 
Tuliwaambia RUSSIA anapigana vita na mataifa zaidi ya 30 yaliyojiunga NATO mkabisha.

Kweli kenge ni kenge tu hasikii hadi achezee kipigo cha mmbwa mwizi atokwe damu.

Sasa yupi Kidume hadi sasa hivi [emoji848][emoji124]

Hayo mataifa yakiingia vitani dhidi ya Urusi atajamba sana, wanamtamani sana, Sweden wana ndege ambazo wanatamani sana zihusike ila hakuna rubani Ukraine hata mmoja mwenye uwezo wa kuziendesha, aina ya jets ambazo ziko soo advanced yaani inashusha mzigo bila kuonekana.
 
Issue hapo sio kulipa ama kutokulipa issue myoa maada kasema pamoja na mkwara wa russia bado marekani kapeleka silaha ndio maana mnafeli class sana
Naona unajielezea mwenyewe ambaye unayefeli class,JF hatuweki vyeti naamini ukiweka vyangu na vyako unaweza ukajiona bonge fala.

Sasa mimi kukuuliza huo msaada ni bure au baadaye ataulipia nimekosea wapi, hivi why mnashindwa jenga hoja,nimeuliza kama huna majibu ungekaa kimya na ukapita husinge pungukiwa kitu.
 
US inatoa $800 million ambazo ni kodi za raia kuipa msaada Ukraine.

Hilo jambo linawaharibia US, wananchi hawa support huo ujinga ukizingatia hali ya uchumi wa dunia ulivyo tetereka hivi sasa.

Kingine its too late, hakuna pesa itaweza fanya Ukraine ishinde.
 
Hayo mataifa yakiingia vitani dhidi ya Urusi atajamba sana, wanamtamani sana, Sweden wana ndege ambazo wanatamani sana zihusike ila hakuna rubani Ukraine hata mmoja mwenye uwezo wa kuziendesha, aina ya jets ambazo ziko soo advanced yaani inashusha mzigo bila kuonekana.
Sasa kama wanamtamani sana Mrusi nini kinawakwamisha? Kwanini wasitume majeshi yao yakapambane tu Mrusi!?
 
Jiji la Mariupol wamechapika wanajeshi wa ukraine wame surrender na ambao bado wamejificha kwenye kiwanda cha chuma

Ndege ya ukraine ya jeshi iliyokuwa imebeba silaha imelipuliwa, Zalensky hana namna zaidi ya kuomba silaha za ziada ama kukubali matakwa ya urusi, one more month hamna nchi itakayotoa msaada tena ukraine
 
Sioni Kama marekani anaitakia mema ukriane, yeye ndo anazidi kuiangamiza Ukraine inazidi kua magofu.

Anavuruga mazungumzo maksudi na kuwagawia ukriane silaha ili waendelee kupigana na urusi.

Hii sio fair,
Alitakiwa ahamasishe wapatane na sio wapigane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom