Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

Tuliwaambia RUSSIA anapigana vita na mataifa zaidi ya 30 yaliyojiunga NATO mkabisha.

Kweli kenge ni kenge tu hasikii hadi achezee kipigo cha mmbwa mwizi atokwe damu.

Sasa yupi Kidume hadi sasa hivi [emoji848][emoji124]
Mataifa zaidi ya 30 yanachangia gharama za vita ukraine, Vladimir anakufa ki ofisa na tai shingoni. Putin anafilisi Russia kwa jeuri ya kijinga.
 
Sioni Kama marekani anaitakia mema ukriane, yeye ndo anazidi kuiangamiza Ukraine inazidi kua magofu.

Anavuruga mazungumzo maksudi na kuwagawia ukriane silaha ili waendelee kupigana na urusi.

Hii sio fair,
Alitakiwa ahamasishe wapatane na sio wapigane

Sent using Jamii Forums mobile app
Dola bilioni mia sita za Urusi zilizozuiliwa benki za Ulaya na Marekeni zitatumika kujenga upya Ukraine.
 
Dikteta Putin yeye hatumii pesa za warussia ila yeye anatumia mawe.

Wamarekani hawajalalamika wewe wa Buza kwa Mama Kibonge ndio unaona uchungu wakati kodi zenu zinatumiwa kununulia wapinzani na zingine kujengea Chato ulikaa kimya wala ukufurukuta leo unaona ya wengine. Mnafiki mkubwa wewe.
Chato nisehemu ya tanzania na wapinzani niwatanzania pia. Hivyo nisahihi kodi kupelekwa huko ila sasa hawa hawanufaishi watu wa nchi husiika

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Naona mitandaoni wakilalamika sana maisha magumu na serikali yao iache kutoa pesa nje hali ya kuwa homeless wapo wa kutosha tu, pia maisha yamepanda sana.
Hao itakuwa na sawa na wale Warusi walioandamana kupinga vita.
 
Unajua marekani iliwachapa sana ndugu wa dini fulani, Libya na Gadafi wake, Iraq na Saddam wake, kina Osama, Afghanistan n.k so ndugu wengi kama sio wote wanakinyongo sana na Mmerekani[emoji3]!
Mimi Ni mkristo na ninalaani matendo ya USA.
 
Naona mitandaoni wakilalamika sana maisha magumu na serikali yao iache kutoa pesa nje hali ya kuwa homeless wapo wa kutosha tu, pia maisha yamepanda sana.
Juzi nimeona video ya huko LA,homeless wako wanakula mavi Yao.Yes,I mean mavi Yao.Hali Ni ngumu
 
Russia ana sababu ya kutumia kodi za wananchi kulinda taifa lake, US kinachomtoa huko mpaka Ukraine ni kipi?

Nia yake ovu inajulikana, wananchi wa US hawapendezwi na hilo, ipo wazi..
Kule Russia wale watu zaidi ya 15,000 waliokamatwa kwa kuandamana kupinga uvamizi wa nchi yao dhidi ya Ukraine wao unawazungumziaje.
 
Back
Top Bottom