Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

Tuliwaambia RUSSIA anapigana vita na mataifa zaidi ya 30 yaliyojiunga NATO mkabisha.

Kweli kenge ni kenge tu hasikii hadi achezee kipigo cha mmbwa mwizi atokwe damu.

Sasa yupi Kidume hadi sasa hivi [emoji848][emoji124]
This shows how Russian barbarism is being opposed by the civilised world 🌎🌍
 
Sasa kama wanamtamani sana Mrusi nini kinawakwamisha? Kwanini wasitume majeshi yao yakapambane tu Mrusi!?

Hawana mkataba wowote na Ukraine, ndio maana walio nje wote wanaombwa wajiunge NATO fasta na tayari Finland na wengine wote wameanza jitihada. Sheria za NATO zinasema ukigusa mmoja umegusa wote....
Urusi analijua hili, ndio maana anajaribu juu chini kujimegea vijisehemu vya Ukraine kabla hawajawa NATO, maana baada ya hapo hatoweza kuongeza kipisi chochote zaidi cha ardhi.
 
US inatoa $800 million ambazo ni kodi za raia kuipa msaada Ukraine.

Hilo jambo linawaharibia US, wananchi hawa support huo ujinga ukizingatia hali ya uchumi wa dunia ulivyo tetereka hivi sasa.

Kingine its too late, hakuna pesa itaweza fanya Ukraine ishinde.
Dikteta Putin yeye hatumii pesa za warussia ila yeye anatumia mawe.

Wamarekani hawajalalamika wewe wa Buza kwa Mama Kibonge ndio unaona uchungu wakati kodi zenu zinatumiwa kununulia wapinzani na zingine kujengea Chato ulikaa kimya wala ukufurukuta leo unaona ya wengine. Mnafiki mkubwa wewe.
 
Una uhakika huko nyuma NATO/USA hawajawahi kuipiga nchi iliyoivamia kijeshi nchi nyingine ambayo ilikuwa na mpango wa kujiunga na NATO?
I'm just curious!
 
Russia ana sababu ya kutumia kodi za wananchi kulinda taifa lake, US kinachomtoa huko mpaka Ukraine ni kipi?

Nia yake ovu inajulikana, wananchi wa US hawapendezwi na hilo, ipo wazi..
 
Haujaeleweka, hebu andika vizuri.
 
Wala usitegemee Urusi anaweza kufanya ujinga uwo.wao wamekamata mali za urusi,urusi nae kakamata mali zao.kwa iyo ngoma droo.kwenye shida atamfata mwenzake
Russia watalipa kama sharti la kuondolewa vikwazo na kurejeshwa kutoka kuwa "Pariah State."
 
Haujaeleweka, hebu andika vizuri.
Umesema NATO hawajaivamia Russia mpaka sasa kwasababu sio member state wa NATO, sio?
Una uhakika kuwa kipindi cha nyuma NATO/USA hawajawahi kuipiga nchi iliyoivamia kijeshi nchi ambayo sio mwanachama wa NATO?
 
US inatoa $800 million ambazo ni kodi za raia kuipa msaada Ukraine.

Hilo jambo linawaharibia US, wananchi hawa support huo ujinga ukizingatia hali ya uchumi wa dunia ulivyo tetereka hivi sasa.

Kingine its too late, hakuna pesa itaweza fanya Ukraine ishinde.
Husifanishe raia wa marekan na nchini kwako, uko kila Jambo walisha maliza na serikal ya marekan inajua impact gan itatokea kwake Baada ya urusi kuiteketeza Ukraine ndio maana wana akili Wana plan na taifa lao sio bongo kila rais akiingia ana plan zake Mara uwanja chato,Mara bandar bagamoyo pambana na serikal yako waweke rami mtaan kwako pia hakuna,
 
Dikteta Putin yeye hatumii pesa za warussia ila yeye anatumia mawe.

Wamarekani hawajalalamika wewe wa Buza kwa Mama Kibonge ndio unaona uchungu wakati kodi zenu zinatumiwa kununulia wapinzani na zingine kujengea Chato ulikaa kimya wala ukufurukuta leo unaona ya wengine. Mnafiki mkubwa wewe.
Safi Sana imetulia hiyo ujumbe unefika
 
Wala usitegemee Urusi anaweza kufanya ujinga uwo.wao wamekamata mali za urusi,urusi nae kakamata mali zao.kwa iyo ngoma droo.kwenye shida atamfata mwenzake
Wala hakuna wa kuhangaika naye ni yeye mwenyewe atakayerudi kwenye stone age.
 
Russia ana sababu ya kutumia kodi za wananchi kulinda taifa lake, US kinachomtoa huko mpaka Ukraine ni kipi?

Nia yake ovu inajulikana, wananchi wa US hawapendezwi na hilo, ipo wazi..
Kwa hiyo wananchi wa Russia wao wanafurahia watu wao kufa Ukraine.
 
US inatoa $800 million ambazo ni kodi za raia kuipa msaada Ukraine.

Hilo jambo linawaharibia US, wananchi hawa support huo ujinga ukizingatia hali ya uchumi wa dunia ulivyo tetereka hivi sasa.

Kingine its too late, hakuna pesa itaweza fanya Ukraine ishinde.
Wewe ni msemaji wa wananchi wa USA?
 
Umesema NATO hawajaivamia Russia mpaka sasa kwasababu sio member state wa NATO, sio?
Una uhakika kuwa kipindi cha nyuma NATO/USA hawajawahi kuipiga nchi iliyoivamia kijeshi nchi ambayo sio mwanachama wa NATO?

Tumia muda wako kuelewa nini unachokitaka kuelewa kisa uulize, wapi nimesema NATO hawajaivama Urusi kisa sio mwanachama wa NATO,......
 
Husifanishe raia wa marekan na nchini kwako, uko kila Jambo walisha maliza na serikal ya marekan inajua impact gan itatokea kwake Baada ya urusi kuiteketeza Ukraine ndio maana wana akili Wana plan na taifa lao sio bongo kila rais akiingia ana plan zake Mara uwanja chato,Mara bandar bagamoyo pambana na serikal yako waweke rami mtaan kwako pia hakuna,
Mi naishi South Africa brother.
 
Back
Top Bottom