Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

Tuliwaambia RUSSIA anapigana vita na mataifa zaidi ya 30 yaliyojiunga NATO mkabisha.

Kweli kenge ni kenge tu hasikii hadi achezee kipigo cha mmbwa mwizi atokwe damu.

Sasa yupi Kidume hadi sasa hivi [emoji848][emoji124]
Mataifa zaidi ya 30 yanachangia gharama za vita ukraine, Vladimir anakufa ki ofisa na tai shingoni. Putin anafilisi Russia kwa jeuri ya kijinga.
 
Dola bilioni mia sita za Urusi zilizozuiliwa benki za Ulaya na Marekeni zitatumika kujenga upya Ukraine.
 
Chato nisehemu ya tanzania na wapinzani niwatanzania pia. Hivyo nisahihi kodi kupelekwa huko ila sasa hawa hawanufaishi watu wa nchi husiika

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Naona mitandaoni wakilalamika sana maisha magumu na serikali yao iache kutoa pesa nje hali ya kuwa homeless wapo wa kutosha tu, pia maisha yamepanda sana.
Hao itakuwa na sawa na wale Warusi walioandamana kupinga vita.
 
Unajua marekani iliwachapa sana ndugu wa dini fulani, Libya na Gadafi wake, Iraq na Saddam wake, kina Osama, Afghanistan n.k so ndugu wengi kama sio wote wanakinyongo sana na Mmerekani[emoji3]!
Mimi Ni mkristo na ninalaani matendo ya USA.
 
Naona mitandaoni wakilalamika sana maisha magumu na serikali yao iache kutoa pesa nje hali ya kuwa homeless wapo wa kutosha tu, pia maisha yamepanda sana.
Juzi nimeona video ya huko LA,homeless wako wanakula mavi Yao.Yes,I mean mavi Yao.Hali Ni ngumu
 
Juzi nimeona video ya huko LA,homeless wako wanakula mavi Yao.Yes,I mean mavi Yao.Hali Ni ngumu
Sasa si wakafanye kazi, haiwezekani serikali Iwagawie benefit zaidi, nchi nzima itakaa itake benefit. Thats tough!
 
Russia ana sababu ya kutumia kodi za wananchi kulinda taifa lake, US kinachomtoa huko mpaka Ukraine ni kipi?

Nia yake ovu inajulikana, wananchi wa US hawapendezwi na hilo, ipo wazi..
Kule Russia wale watu zaidi ya 15,000 waliokamatwa kwa kuandamana kupinga uvamizi wa nchi yao dhidi ya Ukraine wao unawazungumziaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…