Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

yaani upigane na mrusi halafu urushe ndege asiione labda burundi hata hivyo USA aliwahi sema ana ndege hazionekani kwenye radar mara sijui ina jamming system wakai deploy kule KOSOVO wakati ikipigana na NATO matokeo ni kwamba ilipotokea pua yake wakaitungua kwa kutumika Pachora yaani S-175 ambayo ni babu yake na S-400 stori na tzmbo za US ziliishia hapo sasa kama kuna Sweden katengeneza ndege ambayo Mrusi hawezi ona tunaomba waipeleke uwanja wa vita.
 
Kule Russia wale watu zaidi ya 15,000 waliokamatwa kwa kuandamana kupinga uvamizi wa nchi yao dhidi ya Ukraine wao unawazungumziaje.
Kwa nini US itumie pesa za kodi za wananchi wake ku fund Ukraine? Hivi hizo pesa wanashisndwa kuhudumia homeless ambao kila leo wanakufa kwa baridi kisa hawana mahala pa kuishi..

Ugomvi upo thousands of km away, kinachomiwasha ni nini?

We uliona Russia walikuja Libya kurusha hata jiwe?
 
Sema Russia wapo vizuri Sana watu wanampaka aerospace forces yaani majeshi ya anga za mbali?
 
A very interesting question, Russia anafanya nini Mali, Syria, Libya, Ukraine, Kazakhstan and other territories?
 
Ukweli Marekani hizo pesa hana.Ni ahadi hewa kwa Ukraine.Na kweli msaada huo umechelewa na ni hatari muda huu kupeleka misaada kama hiyo.Zaidi ya kuwa ni uchokozi wa wazi kwa mbabe mwenzake lakini pia uwezekano wa kumfikia Zelensky salama ni mdogo.Iwapo msaada kama huo ni wa vifaa vya kijeshi atapitishia wapi.Miji mikubwa kama Lyiv yenye miundo mbinu ya reli iko hali mbaya kuweza kubeba kitu mpaka Kyiv.Kubeba kitu chochote kwa ndege kwenda Kyiv kuna uwezekano wa ndege kuangushwa na bila lawama kwa anayeidungua.Na pesa taslim zitafikaje kama si rubbles.Na zikifika zitanunuliwa kitu gani.
 
A very interesting question, Russia anafanya nini Mali, Syria, Libya, Ukraine, Kazakhstan and other territories?
Putin anasimika/anasaidia viongozi dikteta wasiokubalika na wananchi wa nchi tajwa. Vita vya Ukraine ni vita vya kulinda demokrasia na uhuru . To life,freedom and pursuit of happiness.
 
Mwambie aende uwanja wa vita kusaidia kama Russia alivyoenda Syria

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…