Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
Uhuru kwanza mzee mengine baadae mnaua watu mnatoboa macho hata wewe yoote umeandika hapo nitaarifa zakwenye makaratasi yadola wananchi hawaoni
 
Uhuru kwanza mzee mengine baadae mnaua watu mnatoboa macho hata wewe yoote umeandika hapo nitaarifa zakwenye makaratasi yadola wananchi hawaoni
Nani kafanyiwa haya mkuu awamu hii ya sita?
 
Kumfananisha kupitia USAFIRI anaotumia Samia na Rais wa Zambia aliechaguliwa kwa demokrasia ya kweli haimsafishi Samia dhidi ya udikteta uliopo.

Njia pekee ya Samia kumkaribia Rais wa Zambia ni kuruhusu mikutano huru kwa vyama vyote,katiba mpya na tume huru,kuacha kubambika kesi, uonevu nk.
 
CHADOMO ON THE STAGE, Kwani lini Rais Samia kazuia mikutano ya hadhara?
 
 
Mbona bei ya mkate ni ile ile haishuki?
 
Kiongozi
Hayo mandege makubwa yana presidential seats
usifikiri anakaa changanyikeni; tena kuna fungwa na pazia kabisa hivyo wala huwezi jua ni rais gani yupo ndani
Kama uliwahi kuzitumia nafikiri unajua jinsi mapazia yanavyo fungwa kwa classes...
By the way: hayo mandege kwa watu wanaofuatilia usalama ni most secure; usiniulize kwa nini
 
Hauna jambo lenye tija la kutushirikisha zaidi ya hizi blah blah?
Kwanza hizo ziara zikikuwa za lazima yeye kwenda?
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…