Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
Mimi nilidhani kapanda Airbus hataka ingemchukua siku kufika ua kapanda dremaliner at least ingemake sense kwakuwa pesa anauowalipa Emirates ange ilipa ATCL nakupata huduma any way tuna dremaliner moja
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Tanzania tumepata Rais wa kweli
 
Kali sana hii aise,
 
Haya madege inawezekana mabovu
Mimi nilidhani kapanda Airbus hataka ingemchukua siku kufika ua kapanda dremaliner at least ingemake sense kwakuwa pesa anauowalipa Emirates ange ilipa ATCL nakupata huduma any way tuna dremaliner moja
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Umetumwa umusifie, utakuwa DC huko Pemba
 
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Mama yuko makini sana na fedha za wananchi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…