Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

Hakika Mama ni Mzalendo,
 
Ni kweli huyu Mama ni mzalendo wa kweli
 
Hakika ni Uzalendo,

Unandege mpya 11,

Leo unapanda dege la abiria,

Ni Marais wachache aina ya huyu mama
 
Nzuri
 
Maajabu ya kutia moyo ni kwamba Rais wetu akiwa na Ujumbe wake wa watu wachache alishuka kwenye ndege ya abiri mali ya sherika la ndege la Emirates (Emirates Airline).
Ni sawa Ukaacha gari yako binafsi, ukasema ukodi bus la Umma; hapo uatsema ni Uzalendo kweli, Unless otherwise apande huku abiria wakiendelea kuwepo ndani ya Ndege hiyo, Kama amekodi ndege ya Abiria pekee yake pamoja na alioongozana nao basi hapo hakuna uzalendo wowote.
 
Mama yuko smart sana,
 
Tanzania tuko na Rais wa Ukweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…