Licha ya umeme kufika kila mji na kila kijiji lakini wateja wenye umeme ni mln 5.2 tu out of 65mln people. Kuna umaskini mkubwa sana nchini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.

Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.

Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji (78% accessibility) tena akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFM-17uNaom/?igsh=Zncxb2VrNGlnZDE3

My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.
 
Una uhakika tuko na KAYA/MAJENGO 14.3M? Sababu bila hivyo hoja yako ya idadi ya wenye umeme (5.2M) vs idadi ya watanzania (65M) unasuggest kwamba ili mission iwe imekamilika basi kila raia aonganishwe na umeme which is impossible.
 
Data za majengo ni uhakika sana tena hapo ni yale yaliyokamilika na ambayo hayajakamilika kutoka kwenye sensa.

Kwamba Kila Mtanzania anatakiwa kufikwa na umeme kwenye kaya yake
Screenshot_20250117-074526.jpg
 
Una uhakika tuko na KAYA/MAJENGO 14.3M? Sababu bila hivyo hoja yako ya idadi ya wenye umeme (5.2M) vs idadi ya watanzania (65M) unasuggest kwamba ili mission iwe imekamilika basi kila raia aonganishwe na umeme which is impossible.
Labda ana maanisha ule umeme mwingine kila mtu atembee nao. Umeme wa kumeza vidonge
 
Jamaa amekurupuka kutoa hoja, so Kila mtu regardless ana kaya ama hana aungiwe umeme hata kutembea nao kabisa😁😁

Tafuta takwimu ya kaya sio idadi ya watu
Majengo ya biashara ambayo watu hawaishi kama viwanda,migodi nk ni kaya?

Tanesco imezungumzia wateja wakiwemo kaya na wasio kaya.
 
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.

Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.

Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji ten akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.

View: https://www.instagram.com/p/DE5pkF7MNIx/?igsh=MWVtZjkxdGQ2YTd5OQ==

My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.

Mchakato wa kuunganishiwa pia una kipengele.
Fedha wanayokutajia kwenye makaratasi ukisubiri kutoa hiyo umeme kuna muda utausikia kwa majirani. Hao ma surveyor mpaka waje lazima utoe pesa nje na vihongo hongo kibao.
Sema ni kweli pia umasikini maeneo ya vijijini bado una mizizi mikali. Unakuta mtu hata ile wiring yao basiki ya taa kadhaa ni kipengele.
 
Data za majengo ni uhakika sana tena hapo ni yale yaliyokamilika na ambayo hayajakamilika kutoka kwenye sensa.

Kwamba Kila Mtanzania anatakiwa kufikwa na umeme kwenye kaya yake View attachment 3204136
Kaya masikini zipo ngapi? Tuna fanyaje kuzisaidia hizi Kaya zipate nishati safi?

Umeme umefika katika kila kijiji, sina uhakika kama umefika kila kitongoji. Jukumu la kuunganishiwa umeme ni maamuzi ya Kaya husika kulingana na uwezo wake kiuchumi.

Hasa kumugu gharama za vifaa vya umeme, fundi umeme, gharama za kuunga umeme wa tanesco au umeme jua na gharama za kila mara za kununua umeme ili uweze kuwaka

Hivyo nadhani umeme kufika kila kijiji ni jambo moja na umeme kuwaka kila Kaya ni jambo lingine ambalo lina mambo mengi hasa tukiusianisha na maswala ya uchumi kwa kila Kaya

Tugawe umeme bure kama tunavyogawa neti? Na tugharamie gharama zote vifaa na kuunganisha umeme?

Nini kifanyike ili kila Kaya yenye sifa ya kupata huduma hii ya nishati safi iweze kufikiwa?
 
Una uhakika tuko na KAYA/MAJENGO 14.3M? Sababu bila hivyo hoja yako ya idadi ya wenye umeme (5.2M) vs idadi ya watanzania (65M) unasuggest kwamba ili mission iwe imekamilika basi kila raia aonganishwe na umeme which is impossible.
Mleta mada hajui kuchambua takwimu asilimia zaidi ya 50 ni watoto na vijana chini ya miaka 18 ambao ni wategemezi hapo unaelezea watu kama milioni 30 Unakuja kuna walioko vyuoni ambao hawajaanza kujitegemea,pia unakuja kundi lingine la akina mama waliioolewa wanaoishi nyumba za umeme za waume zao,kuna kundi la wapangaji mfano kwenye apartments au nyumba za kawaida za vyumba sita au nane unakuta watu kibao wanaishi humo kwenye nyumba yenye umeme wakipata huduma ya umeme

Kusema wanaopata umeme ni milioni 5 tu kati ya milioni 65 ni uongo wa hali ya juu alioleta mtoa mada
 
Bado mm naona Kuna mambo hayaki sawa kwenye kuhudumia wateja na hii unaweza kuwa sababu ya idadi ndogo ya watumia umeme.binafsi nataka nivute umeme lkn ili niufikishe umeme nilipo natakiwa kuwa nguzo 10 Tanesco wanasema huu ni mradi so gharama zitakuwa juu,nimebaki nawaza sijui Cha kufanya umeme nahitaji ila gharama juu,
ivi kwanini wasiweke gharama za chini au zisiwepo kabisa kwasababu mm baada ya kuweka umeme nitakuwa nikinunua luku sasa Kuna haha Gani ya magharama makubwa?
 
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.

Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.

Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji ten akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.

View: https://www.instagram.com/p/DE5pkF7MNIx/?igsh=MWVtZjkxdGQ2YTd5OQ==

My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.

Kwenye hao watu 5.6M mkuu zidisha kwa wapangaji. Kwa maana wengi hawana nyumba zao binafsi wana share. Hivyo hapo tukizidisha na wapangaji hatutakosa mtu kama 30+
 
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.

Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.

Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji ten akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.

View: https://www.instagram.com/p/DE5pkF7MNIx/?igsh=MWVtZjkxdGQ2YTd5OQ==

My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.

Wewe unatumia akili Gani kuwaza hivi kati ya nyumba na watu kwa hesabu, ni Kundi lipi Lina idadi kubwa, alafu 65M humo kuna watoto, vijana wazee, kwo ulitaka Kila mwananchi avutiwe tumia ubongo basi
 
Mleta mada hajui kuchambua takwimu asilimia zaidi ya 50 ni watoto na vijana chini ya miaka 18 ambao ni wategemezi hapo unaelezea watu kama milioni 30 Unakuja kuna walioko vyuoni ambao hawajaanza kujitegemea,pia unakuja kundi lingine la akina mama waliioolewa wanaoishi nyumba za umeme za waume zao,kuna kundi la wapangaji mfano kwenye apartments au nyumba za kawaida za vyumba sita au nane unakuta watu kibao wanaishi humo kwenye nyumba yenye umeme wakipata huduma ya umeme

Kusema wanaopata umeme ni milioni 5 tu kati ya milioni 65 ni uongo wa hali ya juu alioleta mtoa mada
Umeelezea vzr. Yeye ange tupa takwimu za majengo yaliyopo nchini na yanayotumia umeme. Tungemwelewa
 
Back
Top Bottom