ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tanesco inasema Nchi nzima Ina wataje wenye waliounganisha umeme Juu kidogo ya 5.2 Milioni kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 65 tuliopo. Au Kwa namna nyingine kati ya Jumala ya Majengo Milioni 14.3 yenye umeme ni majengo 5.2mln sawa na asilimia 37% tuu.
Sijajua kama wao Tanesco wanafurahia hii namba au hapana ila idadi hii inatoa picha halisi ya Hali ya maisha duni Kwa Mtanzania.
Just imagine licha ya umeme kufika Kila Kijiji na Kila Mji (78% accessibility) tena akiwa gharama kubwa lakini connectivity Rate ni ndogo sana.Tulikiwa tunasingizia Umeme kutokuwepo ila kiuhalisia shida sio umeme Bali pesa za kulinganisha na kulipia huo umeme.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFM-17uNaom/?igsh=Zncxb2VrNGlnZDE3
My Take
Serikali na watu wa mipango Kuna Kasi ya kufanya kukuza kipato Cha mwananchi,mkiendelea na miradi ya mabilioni Ili mpigie picha kuwafurahisha hao hao maskini licha ya kwamba haiwanufaishi Kuna siku mtakuja kuumbuka.