Kama hamas wanajificha humo.unataka lawama apewe idf?
Lawama IDF zinamhusu sana:
Haipo sababu yoyote ya kumwua yeyote asiye na hatia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hamas wanajificha humo.unataka lawama apewe idf?
Hizi sio mbinu za kijeshi na naona huzielewi kabisaHao Hamas wanavaa kiraia halafu wanawavizia askari wa Israel sasa Israel inamfeka kila inae muona
Wakati mwingine hiyo pia inaweza kuwa ni mbinu ya adui.Hiyo ndio vita hakuna vita ya kusema eti hapa usinivizie. Kosa la IDF ni kuwa hawa mateka walijisalimisha kabisa na wakajitambulisha kwa kuonesha white flag na waliongea kiebrania but still jamaa wakawaua . Hili ni tatizo la msongo wa mawazo ambalo wanapitia wanajeshi wa IDF huko battlefield na wasipokua makini wataanza kuuwana wao kwa wao. Vita siyo mchezo wa kuigiza.
Tatizo tena yaani mabwana zako wametangaza vita na Hamas harafu unataka kuwampangia jinsi kupigana? Mnataka wasiwavamie😂😂Tatizo ni kwamba hao Hamas wanawavizia IDF kwahiyo muda wote askar wako alert vibaya mno maana wakishindwa kuwawahi hao magaidi basi watawahiwa wao na mwisho ni kifo ndio maana hayo yote yanatokea
Daktar anaefurahi watoto wa israel kuuawa , huyo hapasw kuchekewa , udaktari sio kificho cha uharifu
Kisa kuua watu watatu ndo tusiwaamin idf na tuamin idf wote wamekufa ndan ya Gaza na ss hv ni Marekan ndo anapambana na Gaza , si ndio?
Kwamba taifa la Mungu imekuwaje tena?
1. Akili inaanza kukurudia? Si uliaema kila mtu ni HAMAS?
2. Ukawaamini kila walilosema na kila waliloita command center?
3. Hawana utu Wala ubinadamu.
4. Kuuwa hovyo hadi watoto njiti ni ugaidi.
5. Kufunga watoto kwa kangaroo courts za kijeshi ni ugaidi.
6. Israel ni fwedhuli!
7. View attachment 2844123
8. View attachment 2844124
9. Yajuwe yaliyodhaniwa hayawezekani kabla ya Oct 7 Gaza
Bure kabisa!
Tangu mwanzo nilishawaambia mtemane na Myahudi, shobo zenu muendelee kuzifanya kwa Wakristo lakini mtemane kabisa na Myahudi, Mchina, na Mrusi, wale ni hatari tena makatili.
Mliua watoto wao mkategemea watulie, mumesababisha wanaua kila kitu chenu, mitoto yenu wanaipiga marisasi.
Hamas hawana uniforms wakishashambulia wachache wanarudi kwenye mahandaki wengi wanakimbilia kujificha kwenye mashule, Kambi za wakimbizi nk ambako kumejaa wakina mama, wazee na watoto sasa unategemea waachwe sio? Yaani Hamas warushe kombora liue na kujeruhi askari kadhaa wa IDF Kisha hao Hamas wakimbilie kujificha kwenye kundi la raia alafu eti IDF watoe onyo thubutu!! Mtateketezwa nyote na hakitabaki kitu hata ningekuwa mm ningefanya hivyo hivyoNa watoto wakiwamo njiti, wanahabari, wanawake nao inakuwa je? Au wote ni HAMAS?
Israhell ilikua overrated sanaaaIsrael bado inaishi na jinamizi la 7/10/2023.
Wanataka kuonekana bado wana nguvu baada ya ile aibu, na kudhihirisha hilo wameigeuza Gaza kuwa kifusi mwishowe wanaishia kuua mpaka mateka.
Unaongea kuhusu hawa mabwana zako?
![]()
Hata kama ungefanya haingekusaidia au kukufanya ushindeHamas hawana uniforms wakishashambulia wachache wanarudi kwenye mahandaki wengi wanakimbilia kujificha kwenye mashule, Kambi za wakimbizi nk ambako kumejaa wakina mama, wazee na watoto sasa unategemea waachwe sio? Yaani Hamas warushe kombora liue na kujeruhi askari kadhaa wa IDF Kisha hao Hamas wakimbilie kujificha kwenye kundi la raia alafu eti IDF watoe onyo thubutu!! Mtateketezwa nyote na hakitabaki kitu hata ningekuwa mm ningefanya hivyo hivyo
Hamas hawana uniforms wakishashambulia wachache wanarudi kwenye mahandaki wengi wanakimbilia kujificha kwenye mashule, Kambi za wakimbizi nk ambako kumejaa wakina mama, wazee na watoto sasa unategemea waachwe sio? Yaani Hamas warushe kombora liue na kujeruhi askari kadhaa wa IDF Kisha hao Hamas wakimbilie kujificha kwenye kundi la raia alafu eti IDF watoe onyo thubutu!! Mtateketezwa nyote na hakitabaki kitu hata ningekuwa mm ningefanya hivyo hivyo
Inaweza kusaidia ama kutosaidia ila kikubwa ni kwamba nitakuwa nimemteketeza adui yangu hiyo inatosha.Hata kama ungefanya haingekusaidia au kukufanya ushinde
Suala la israhell kuchapwa na kuikimbia ghaza halikwepeki nisuala la muda tu!!!
Tunakukumbushana tu lengo sio kuteketeza adui ambae ni hamas lengo ni kutokomeza kabisa hamasInaweza kusaidia ama kutosaidia ila kikubwa ni kwamba nitakuwa nimemteketeza adui yangu hiyo inatosha.
Inaweza kusaidia ama kutosaidia ila kikubwa ni kwamba nitakuwa nimemteketeza adui yangu hiyo inatosha.
Kwa ujinga wako unadhani kuna ushabiki kuwa kuna ninyi na sisi. Kumbe wewe nani ndugu?
Yaani wanafyatua chochote kinachopumua, inaonekana jamaa hawana haja tena na hao mateka, wanaua tu chochote, dah! HAMAS popote walipo lazima imeshawaingia akilini hamna pakutokea ila kifo......kwamba hapa hata wakisema wako tayari kupokeza mateka hawatasklizwa.
Israeli hostages killed mistakenly in Gaza were holding white flag, official says
Peter Beaumont
An initial IDF probe into the hostage killing incident suggests all three men were shirtless, with one carrying a makeshift white flag.
On seeing them, one Israeli soldier shouted “terrorists!” to the other forces, initiating fire at the men, according to reports.
While two hostages were hit immediately and fell to the ground, the third managed to escape into a nearby building where despite pleas in Hebrew, he was also shot and killed, a military official said.
![]()
Al Jazeera asks legal team to refer journalist’s killing to ICC – as it happened
This blog has now closed. Read our full report on the latest developments here.www.theguardian.com