Licha ya ushabiki wangu kwa Israel, ila hili la kuua kila kitu kunasababisha wanaua hadi mateka, hapana

Hao Hamas wanavaa kiraia halafu wanawavizia askari wa Israel sasa Israel inamfeka kila inae muona
Hizi sio mbinu za kijeshi na naona huzielewi kabisa
Vitani unaweza kutuma watu wa kila aina
Hata wao Israel unafikiri hawajui kuwapeleka watu wao kama raia ili kupeleleza

Unaona watu wako vifua wazi, maana yake hawana silaha kama mabomu kiunoni
Na pia mmoja kashika bendera nyeupe tena inaonekana ikiwa imefungwa kwenye fimbo ndefu
Na pamoja na kuongea kilugha bado wakawauwa
Hiyo inadhihirisha ni woga Mavi debe
Jeshini usiwe muoga na kazi inajulikana
 
Wakati mwingine hiyo pia inaweza kuwa ni mbinu ya adui.
 
Tatizo ni kwamba hao Hamas wanawavizia IDF kwahiyo muda wote askar wako alert vibaya mno maana wakishindwa kuwawahi hao magaidi basi watawahiwa wao na mwisho ni kifo ndio maana hayo yote yanatokea
Tatizo tena yaani mabwana zako wametangaza vita na Hamas harafu unataka kuwampangia jinsi kupigana? Mnataka wasiwavamie😂😂
 

Tangu mwanzo nilishawaambia mtemane na Myahudi, shobo zenu muendelee kuzifanya kwa Wakristo lakini mtemane kabisa na Myahudi, Mchina, na Mrusi, wale ni hatari tena makatili.
Mliua watoto wao mkategemea watulie, mumesababisha wanaua kila kitu chenu, mitoto yenu wanaipiga marisasi.
 
idf hadi leo wanadhani hamas ni jeshi la kongo drc idf ni magaidi wabaguzi na madicteta jeshi la kipumbavu kweli wanapambana na hamas tu wanalilia msaada us facken kabisa.
 

Kwa ujinga wako unadhani kuna ushabiki kuwa kuna ninyi na sisi. Kumbe wewe nani ndugu?
 
Na watoto wakiwamo njiti, wanahabari, wanawake nao inakuwa je? Au wote ni HAMAS?
Hamas hawana uniforms wakishashambulia wachache wanarudi kwenye mahandaki wengi wanakimbilia kujificha kwenye mashule, Kambi za wakimbizi nk ambako kumejaa wakina mama, wazee na watoto sasa unategemea waachwe sio? Yaani Hamas warushe kombora liue na kujeruhi askari kadhaa wa IDF Kisha hao Hamas wakimbilie kujificha kwenye kundi la raia alafu eti IDF watoe onyo thubutu!! Mtateketezwa nyote na hakitabaki kitu hata ningekuwa mm ningefanya hivyo hivyo
 
Israel bado inaishi na jinamizi la 7/10/2023.

Wanataka kuonekana bado wana nguvu baada ya ile aibu, na kudhihirisha hilo wameigeuza Gaza kuwa kifusi mwishowe wanaishia kuua mpaka mateka.
Israhell ilikua overrated sanaaa
 
Hata kama ungefanya haingekusaidia au kukufanya ushinde
Suala la israhell kuchapwa na kuikimbia ghaza halikwepeki nisuala la muda tu!!!
 

1. Kwa hiyo inahalalisha kwenda kuponda hadi watoto na tinga tinga?



2. Uhalali wasiokuwa na hatia unatoka wapi?

3. Unadhani alaumiwe nani hapo?
 
Hata kama ungefanya haingekusaidia au kukufanya ushinde
Suala la israhell kuchapwa na kuikimbia ghaza halikwepeki nisuala la muda tu!!!
Inaweza kusaidia ama kutosaidia ila kikubwa ni kwamba nitakuwa nimemteketeza adui yangu hiyo inatosha.
 
Inaweza kusaidia ama kutosaidia ila kikubwa ni kwamba nitakuwa nimemteketeza adui yangu hiyo inatosha.
Tunakukumbushana tu lengo sio kuteketeza adui ambae ni hamas lengo ni kutokomeza kabisa hamas
Kama kuteketeza hamas hao israhell hawakuanza October 7 nawala hawatishia watakapoishia wataendelea nakuendelea nakuendelea ila suala la kuitokomeza ama kuifuta ambalo ndio lengo mama hilo sahauni kabisa
Kwasasa mupo ghaza sehem gani pale mazayuni?
 
Inaweza kusaidia ama kutosaidia ila kikubwa ni kwamba nitakuwa nimemteketeza adui yangu hiyo inatosha.

Ndiyo maana anateketeza na mateka wake kwa maana uliyoyasema hapo ndiyo haswa, the text book definition ya "wenda wazimu."
 
Kwa ujinga wako unadhani kuna ushabiki kuwa kuna ninyi na sisi. Kumbe wewe nani ndugu?

Kwa utahira wako unashabikia uchokozi wa mwarabu kwa Myahudi halafu unaanza kulia lia, nimekuambia wale ni makatili, wanaua hadi vitoto, fanyeni shobo zenu kwa Wakristo ila achaneni na Wayahudi.
 



Itakuwa wali wafananisha na HAMAS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…