Licha ya ushabiki wangu kwa Israel, ila hili la kuua kila kitu kunasababisha wanaua hadi mateka, hapana

We punda akili inaanza kurudi,, tunakwambia kila siku yahudi sio mtu na hana urafiki na mtu yoyote awe mwislam, mkristo au Buddha lkn mnakaza shingo.. Sasa subirini wakimalizana na hamas bado zamu yenu wagala,, nyie endeleeni kuwabariki mijinga kabisa..
 
Jamaa naona akili zimeanza kumrudia kidogo kidogo
 
.
 
Nafurahi kusikia unamkubali mrusi japo kimya kimya [emoji1787]

Mrusi nilikua namkubali sana aliokua anafyatua mazombi ya dini yenu. Kuna kipindi hayo mazombi yalishika Warusi mateka, aisei Mrusi alifyatua wote hadi mateka, yule ni balaa nyingine, sema kaniangusha tu kwa kuivamia Ukraine, muhimu sana kwa Urusi na Marekani waungane dhidi ya nyie mazombi.
 
Umewatekenya Hamas wa Buza kwa Mpalange yaani wanakenua meno yaliyochafuliwa na Tende!!

Ha ha haaa unaujua kuwaibua watu wajinga brother. Wewe ni msomi na mwanasaikolojia Nguli
 
Ndoano imenasa😂

 
Ndio tabia yao na hiki ndicho hata US alikifanya Korea Kaskazini kwa kujaribu kuua kila kinachotambaa ardhini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…