mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hiyo idadi wametunga baada ya kufundishwa cha kufanya na Iran kuvuruga Safari ya BidenSi kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka
View attachment 2785845
Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Sababu unafungua mathread mengi na umeamua kuwa propagandist, kila sehemu waki expose uongo wako unafungua uzi mwengine na mimi kila uzi nitakufuata.Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka
View attachment 2785845
Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Unalijua kombora lililotumika hapo? unajua kama ilo kombora lililotumika hapo linarushwa na ndege vita? Hamas wana ndege vita?Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka
View attachment 2785845
Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Tatizo mkiambiwa kitu na hao Hamas mnakikubali kama kilivyo bila research kisa tu mnafanana imani.Sababu unafungua mathread mengi na umeamua kuwa propagandist, kila sehemu waki expose uongo wako unafungua uzi mwengine na mimi kila uzi nitakufuata.
1. Israel walkiri kupiga hilo Bomu na Msemaji wa IDF kapost Tweeter baadae baada ya Backlash wakafuta
View attachment 2785864
2. Bomu limetupwa na Ndege na ukubwa wa Bomu Hamas hawana, bomu Linaloua watu 500 na kujeruhi maelfu wanamgambo hawana, hata kufichika halifichiki.
3. Aina ya Mlipuko na Sauti watu washalijua ni Bomu gani Jdam.
4. Leo Tena Wamepiga sehemu nyengine same Voice na bomu la jana imesikika ni Airstrike.
Kama huna bando la kuangalizia video nenda kwa mangi uchukue vocha ya jero ntalipiaUnalijua kombora lililotumika hapo? unajua kama ilo kombora lililotumika hapo linarushwa na ndege vita? Hamas wana ndege vita?
Wewe ndo huna akili kabisa.Tuwe wavumilivu uchunguzi ufanyike kwanza tension bado kubwa kuhusu hili suala lenye mkanganyiko.we kuwa mpole kwanza
Achana nae, sikutegemea kama kungekuwa na comment ya kijinga kama yake.uchunguzi umeshamalizika na ushahidi ni video iliyokuwa inarushwa AL JAZEERA 18:59 dakika 10 kabla ya wao kuripoti hospitali imelipuliwa
Hakuna Hamas yoyote aliesema hapo juu bali ni Dunia, kama unahisi Dunia nzima ni Wajinga sawa.Tatizo mkiambiwa kitu na hao Hamas mnakikubali kama kilivyo bila research kisa tu mnafanana imani.
ona sasa umeshadanganywa kwamba Hananya Naftali ni Msemaji wa IDF,
Wewe ulivyoambiwa na hao Israel kuwa Yesu ni mwana wa mungu wa pekee ulifanya utafiti? au ulivyoambiwa yesu kuuwawa msalabani ni kwaajiri ya kukombolewa wewe na dhambi zako ulifanya utafiti? AU uwongo uliopo kwenye ubatizo uliufanyia utafiti?Tatizo mkiambiwa kitu na hao Hamas mnakikubali kama kilivyo bila research kisa tu mnafanana imani.
ona sasa umeshadanganywa kwamba Hananya Naftali ni Msemaji wa IDF,
Ulishadanganywa kwamba Naftali ni msemaji wa IDF, ushukuru kwanza nimekuelimisha kukutoa ujinga wa kuamini kiboya kila unachoambiwa bila kuongeza na zako kisa tu anakuambia ni muarabu, jifunze kwamba si kila muarabu ni mwema.Hakuna Hamas yoyote aliesema hapo juu bali ni Dunia, kama unahisi Dunia nzima ni Wajinga sawa.
Hananya Naftali anafanya Kazi direct toka Netanyahu Mwenyewe, Hapa Boss wako mwenyewe anaongea hilo
View: https://m.youtube.com/shorts/MvogHimGuWo
Bishana na Netanyahu hajui analoongea
Nimekuekea Video Netanyahu anasema mwenyewe anafanya kazi chini yake unachobisha sijui ni nini.Ulishadanganywa kwamba Naftali ni msemaji wa IDF, ushukuru kwanza nimekuelimisha kukutoa ujinga wa kuamini kiboya kila unachoambiwa bila kuongeza na zako kisa tu anakuambia ni muarabu
Hata Masanja mkandamizaji anafanya kazi chini ya Rais wetu kwa kumtangaza ila hana cheo chochote jeshini wala serikalini, akiongea mambo ya Jeshini ndicho alichoongea Rais ?Nimekuekea Video Netanyahu anasema mwenyewe anafanya kazi chini yake unachobisha sijui ni nini.
Haya tuseme Msemaji wa Netanyahu Mwenyewe kasema Israel Wamepiga Hospitali umefurahi? Je wewe na Msemaji wa Netanyahu nani ana information za ndani?
Taratibu tutafika tuHata Masanja mkandamizaji anafanya kazi chini ya Rais wetu kwa kumtangaza ila hana cheo chochote jeshini wala serikalini, akiongea mambo ya Jeshini ndicho alichoongea Rais ?
Huyo Naftali ni social media influencer hana cheo chochote jeshini
Naomba unipe account official ya kitengo chochote cha jeshi ama taasisi ya ulinzi iliyoweka hili tamko, HUWEZI KUIPATA !!.Taratibu tutafika tu
View attachment 2785967
Huyo Naftali kabla ya vita ya juzi yupo jeshini department ya utangazaji, anapewa taarifa direct na Jeshi/Netanyahu
Haya angalia Video nambie ni Masanja huyo?