Licha ya ushahidi wa AL Jazeera, kwanini Hamas hawataki kuomba msamaha familia za Wapalestina 500 waliofariki kwa kombora lao kupata hitilafu?

Hyo ndo furaha ya muisrael.kwa hyo endeeleni kufurahi.nashangaa Netanyahu anakana .anakana nini sasa wakati furaha yake ni kuona wafelestine wakifa.wapeni maua yao wakiwa wapo hai.ili wakifa msilie bali mfurahi.
 
Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".

Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA

18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka

View attachment 2785845

Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Hiyo idadi wametunga baada ya kufundishwa cha kufanya na Iran kuvuruga Safari ya Biden
 
Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".

Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA

18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka

View attachment 2785845

Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Sababu unafungua mathread mengi na umeamua kuwa propagandist, kila sehemu waki expose uongo wako unafungua uzi mwengine na mimi kila uzi nitakufuata.

1. Israel walkiri kupiga hilo Bomu na Msemaji wa IDF kapost Tweeter baadae baada ya Backlash wakafuta

F8qprZBawAA2cpv.jpeg

2. Bomu limetupwa na Ndege na ukubwa wa Bomu Hamas hawana, bomu Linaloua watu 500 na kujeruhi maelfu wanamgambo hawana, hata kufichika halifichiki.

3. Aina ya Mlipuko na Sauti watu washalijua ni Bomu gani Jdam.

4. Leo Tena Wamepiga sehemu nyengine same Voice na bomu la jana imesikika ni Airstrike.
 
Wamefanya kosa wanalitumia kama mtaji wa kisiasa
Nimeongea na Mr Benjamin Netanyahu amenihakikishia kuwa hajafanya upumbavu wa aina hiyo
 
Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".

Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA

18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka

View attachment 2785845

Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Unalijua kombora lililotumika hapo? unajua kama ilo kombora lililotumika hapo linarushwa na ndege vita? Hamas wana ndege vita?
 
Sababu unafungua mathread mengi na umeamua kuwa propagandist, kila sehemu waki expose uongo wako unafungua uzi mwengine na mimi kila uzi nitakufuata.

1. Israel walkiri kupiga hilo Bomu na Msemaji wa IDF kapost Tweeter baadae baada ya Backlash wakafuta

View attachment 2785864

2. Bomu limetupwa na Ndege na ukubwa wa Bomu Hamas hawana, bomu Linaloua watu 500 na kujeruhi maelfu wanamgambo hawana, hata kufichika halifichiki.

3. Aina ya Mlipuko na Sauti watu washalijua ni Bomu gani Jdam.

4. Leo Tena Wamepiga sehemu nyengine same Voice na bomu la jana imesikika ni Airstrike.
Tatizo mkiambiwa kitu na hao Hamas mnakikubali kama kilivyo bila research kisa tu mnafanana imani.

ona sasa umeshadanganywa kwamba Hananya Naftali ni Msemaji wa IDF,
 
Unalijua kombora lililotumika hapo? unajua kama ilo kombora lililotumika hapo linarushwa na ndege vita? Hamas wana ndege vita?
Kama huna bando la kuangalizia video nenda kwa mangi uchukue vocha ya jero ntalipia
 
uchunguzi umeshamalizika na ushahidi ni video iliyokuwa inarushwa AL JAZEERA 18:59 dakika 10 kabla ya wao kuripoti hospitali imelipuliwa
Achana nae, sikutegemea kama kungekuwa na comment ya kijinga kama yake.
 
Tatizo mkiambiwa kitu na hao Hamas mnakikubali kama kilivyo bila research kisa tu mnafanana imani.

ona sasa umeshadanganywa kwamba Hananya Naftali ni Msemaji wa IDF,
Hakuna Hamas yoyote aliesema hapo juu bali ni Dunia, kama unahisi Dunia nzima ni Wajinga sawa.

Hananya Naftali anafanya Kazi direct toka Netanyahu Mwenyewe, Hapa Boss wako mwenyewe anaongea hilo

View: https://m.youtube.com/shorts/MvogHimGuWo

Bishana na Netanyahu hajui analoongea
 
W

Wewe ulivyoambiwa na hao Israel kuwa Yesu ni mwana wa mungu wa pekee ulifanya utafiti? au ulivyoambiwa yesu kuuwawa msalabani ni kwaajiri ya kukombolewa wewe na dhambi zako ulifanya utafiti? AU uwongo uliopo kwenye ubatizo uliufanyia utafiti?
 
Hakuna Hamas yoyote aliesema hapo juu bali ni Dunia, kama unahisi Dunia nzima ni Wajinga sawa.

Hananya Naftali anafanya Kazi direct toka Netanyahu Mwenyewe, Hapa Boss wako mwenyewe anaongea hilo

View: https://m.youtube.com/shorts/MvogHimGuWo

Bishana na Netanyahu hajui analoongea

Ulishadanganywa kwamba Naftali ni msemaji wa IDF, ushukuru kwanza nimekuelimisha kukutoa ujinga wa kuamini kiboya kila unachoambiwa bila kuongeza na zako kisa tu anakuambia ni muarabu, jifunze kwamba si kila muarabu ni mwema.
 
Ulishadanganywa kwamba Naftali ni msemaji wa IDF, ushukuru kwanza nimekuelimisha kukutoa ujinga wa kuamini kiboya kila unachoambiwa bila kuongeza na zako kisa tu anakuambia ni muarabu
Nimekuekea Video Netanyahu anasema mwenyewe anafanya kazi chini yake unachobisha sijui ni nini.

Haya tuseme Msemaji wa Netanyahu Mwenyewe kasema Israel Wamepiga Hospitali umefurahi? Je wewe na Msemaji wa Netanyahu nani ana information za ndani?
 
Hata Masanja mkandamizaji anafanya kazi chini ya Rais wetu kwa kumtangaza ila hana cheo chochote jeshini wala serikalini, akiongea mambo ya Jeshini ndicho alichoongea Rais ?

Huyo Naftali ni social media influencer hana cheo chochote jeshini
 
Taratibu tutafika tu

Huyo Naftali kabla ya vita ya juzi yupo jeshini department ya utangazaji, anapewa taarifa direct na Jeshi/Netanyahu

Haya angalia Video nambie ni Masanja huyo?
 
hii video ni ya mwaka 2022, kweli marekani na mashoga wenzao wanadanganya, yaani uongozi wa hospitali lilipopigwa bomu wanasema wamepokea simu mara tatu kuwa waondoke hospitali wewe unaleta ushahidi kutoka kwa mashoga, wametudangaya kuhusu iraq, syria,libya, nani wakuwaamini serikali zimekubali ushatani kwenye katiba zao unategemea matendo ya kishetani yasitoke kwao,

Post​

See new posts

Conversation​

Jackson Hinkle

@jacksonhinklle
Subscribe

So
@Israel
claims they somehow managed to immediately intercept audio of Hamas communications during the bombing of the hospital… But they couldn’t manage to intercept Hamas communications during the YEARS of planning that led to Israel’s invasion?They are LYING to you!

1697661912781.png

https://twitter.com/Israel
 
Attachments

  • church.PNG
    church.PNG
    24.4 KB · Views: 4
Taratibu tutafika tu

View attachment 2785967

Huyo Naftali kabla ya vita ya juzi yupo jeshini department ya utangazaji, anapewa taarifa direct na Jeshi/Netanyahu

Haya angalia Video nambie ni Masanja huyo?
Naomba unipe account official ya kitengo chochote cha jeshi ama taasisi ya ulinzi iliyoweka hili tamko, HUWEZI KUIPATA !!.

Rwanda na Tanzania zikiingia vitani, habari official za jeshi zitakuwa zinawekwa kwenye page ya social influencer badala ya ukurasa maalum wa jeshi la Tanzania ?
 
Back
Top Bottom