Sababu unafungua mathread mengi na umeamua kuwa propagandist, kila sehemu waki expose uongo wako unafungua uzi mwengine na mimi kila uzi nitakufuata.
1. Israel walkiri kupiga hilo Bomu na Msemaji wa IDF kapost Tweeter baadae baada ya Backlash wakafuta
View attachment 2785864
2. Bomu limetupwa na Ndege na ukubwa wa Bomu Hamas hawana, bomu Linaloua watu 500 na kujeruhi maelfu wanamgambo hawana, hata kufichika halifichiki.
3. Aina ya Mlipuko na Sauti watu washalijua ni Bomu gani Jdam.
4. Leo Tena Wamepiga sehemu nyengine same Voice na bomu la jana imesikika ni Airstrike.