Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu.
Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k.
Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu
Lugha ya kiarabu - huipa uzito wa hali ya juu
Ndoa kwa tamaduni za kiarab - kuvaa jambia kiunoni kwenye siku ya kufunga ndoa
Urembo wa kiarab - wanawake huthamini urembo wa kiarabu kama hina
Vyakula vya kiarab - Biriani na tende vinapewa heshima yake
Licha ya haya yote bado waarabu imekuwa ngumu ku intergrate
waarabu wamekuwa wagumu kukubali watu weusi kuoa mabinti zao, mifano ya ndoa hizo ipo lakini mara nyingi lazima mtu mweusi awe na cheo kizito kwenye nchi.
baadhi ya waarabu huwachukulia bado watu weusi kuwa watumwa, Nchi za kiarabu kama Libya bado utumwa unaendelea wanakamata watu weusi na kuwatumikisha, pia kuna kero nyingi sana tunazisikia kwa house girls weusi wanaofanya kazi uarabuni kunyanyaswa.
Ukienda nchi kama Sudan, Somalia, n.k. bado kuna ubaguzi kwa watu weusi hasa wabantu, kadri ngozi yako inavyozidi weusi ndio ubaguzi huzidi, rangi ya kiarabu wameipa hadhi ya "ngozi ya mtume" na kuiheshimu zaidi,