Lazima uelewa suala zima nyuma ya hawa wawili. Kumbuka wana watoto 3. Unataka nani atetee maslahi ya wale watoto?
Hawa watu walikuwa bado partners kwenye biashara zao. Unajua kila mmoja alikuwa na share kiasi gani?
Ukisoma utaelewa namna gani Don alimwamini Zari, kiasi cha kumwona tu na kumshinda mkono wake kwa nguvu japo alikuwa hasemi kwa kinywa!. Huwezi unganisha dots hapo?
Walishindwana ki mapenzi, lakini hawakutenganishwa na watoto wao, na hata wao hawakutenganisha biashara zao.
Familia na jamii inamtambua Zari na dniyo sababu aliitwa na kusikilizwa kila alilotaka lifanyike, na si wale wapigaji.
BILA SHAKA ZARI ATASIMAMIA VYEMA MALI ZILIZOACHWA NA MAREHEMU NA KUHAKIKISHA ANAENDELEZA MIPANGO YA MAREHEMU IKWA NI PAMOJA NA KUENDELEA KUWAHUDUMIA (KAMA WAPO), ALIOKUWA AKIWAHUDUMIA MAREHEMU, LIKEWEMO SUALA LA KUHAKIKISHA WAZAZI WA MAREHEMU WANAENDELEA KUPATA HUDUMA HASA KATIKA KIPINGI HIKI CHA UZEE WAO.