Hebu acha kuhukumu kwa kusikia fikiria kaka au close relative wako ana pigania uhai wake na marafiki aliowaamini wanahangaika kutafuta documents za urithi ili tu wadhurumu watoto wa kaka yako,utakaa kimya? Au tu hata kwako wewe jichukulie mfano huo tu kwamba ex wako anahangaikia Mali zako kwa ajili ya wanawe wanaotaka kudhulumiwa na marafiki waliokuwa wanamendea Mali zako na huku una hali mbaya. Nani mbaya kati yaoNimeona anaitwa the boss lady nikajua ana hela za kumuwezesha kuishi na kutunza wanae kumbe ubosi njaa tu. Nikajua boss kama Agelina alieachana na Brand Pitt bila kudai chochote hata kumi kumbe bosi njaa, boss kisha unalilia mirathi?