Tetesi: Lies, intrigue, betrayal: How Ivan Ssemwanga lived out his last days on earth?

Tetesi: Lies, intrigue, betrayal: How Ivan Ssemwanga lived out his last days on earth?

Nani kasema anakula mali za watoto?

Zari anachokosea anasema na yeye binafsi apewe mgao kama mke wa Ivan na kwenye vikao vya familia anasema eti hata Nillan ni mtoto wa Ivan.

Huu uboss mavi alafu unatokwa mapovu kulilia urithi wa nyumba uliyoikimbia na kwenda kuolewa(presumption of marriage) ni ubwege.
Hivi Bavicha hizi story mmeambiwa na Mange au ulikuwepo kwenye hicho kikao? Mange kasema?
 
Acha uongo banaa! Sasa kama hakutaka chochote kwanini alienda kuhire divorce lawyers tena wale wakali katika kuhakikisha mteja wao anapata sehemu anayostahili katika mgawano wa mali? Si angeondoka kimya kimya tu bila kutafuta divorce lawyers?

Najua nilichokiandika ndivyo kilivyo, kama unakanusha kwamba sio kweli leta ushahidi kua Agelina Jolie baada ya talaka alidai kiasi flani cha pesa au mgao wa mali walizochuma na Brand.
 
Sikumbuki kuelezea uhalali wa ndoa yoyote lakini bila kusoma upya post yangu nakumbuka nimezungumzia suala la mirathi na mapana yake!!!! So, swali lako linatokana na post yangu or is just a general question?!
Unamtaja Zari kama mke wa Ivan ndiyo nakuuliza ni mke wa Ivan kivipi wakati ameolewa na Diamond by presumption of marriage act under the law of marriage act?
 
Nimeona anaitwa the boss lady nikajua ana hela za kumuwezesha kuishi na kutunza wanae kumbe ubosi njaa tu. Nikajua boss kama Agelina alieachana na Brand Pitt bila kudai chochote hata kumi kumbe bosi njaa, boss kisha unalilia mirathi?
Akili za kimaskini ukiwa boss ndio hautetei haki za wanao?
 
Bashite didn't understood may be you should translate this to him
 
ukitaka kujua mke wako alikuwa anapenda sana pesa na mali zako kuzidi alivyokupenda wewe,kufa.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Back
Top Bottom