Sabayi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 2,310
- 999
Nenda sokoni kariakoo ktk maduka ya kilimo, kama uko karibu na Ubungo, nenda pale Yenu Bar kwa pembeni kuna maduka pale au kama Buguruni ni rahisi, basi nenda mitaa ya Rozana pale kuna maduka.
Siku hizi mbegu za kuchakachua ni nyingi sana yameshanikuta mimi ndo maana siku hizi huwa napenda kununua kwa mawakala Moja kwa Moja au kunielekeza kwenye duka wanalowauzia wao ili kupata uhakika wa ubora wa Mbegu