Microsoft
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 623
- 366
...bujibuji mpaka huku upo?Tunatiana hamu bureee, wengine wanatumia nyanya chungu ili kuongeza maji ya ukeni (si unajua tena mambo ya katerero?)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...bujibuji mpaka huku upo?Tunatiana hamu bureee, wengine wanatumia nyanya chungu ili kuongeza maji ya ukeni (si unajua tena mambo ya katerero?)
Mi refa, nazunguka uwanja...bujibuji mpaka huku upo?
Mi refa, nazunguka uwanja
...bujibuji mpaka huku upo?
Mkuu nenda sokoni moro au k.koo ongea directly na wauzaji wa hapo,huwezi kukosa. Mwanza hizo nyanya chungu 3 sh.mia.
Biashara ya mboga toka huko kwa jumla soko lipo karibu na round about ya kigogo. Biashara huanza saa ~9 usiku - 12asubuhi. Ukipita mida hiyo utawakuta madalali. Ila biashara hii bei inabadilika kila baada ya muda mfupi.
Hongera kwa kudhubutu. Tafuta madalali huko huko kwenye soko la hapo jirani watakuuoganisha. Napenda sana kilimo. Hongera.
Ulifanya cha umwagiliaji?na nyanya maji zinakubali? Maji yako karibu au mbali?
Namimi napendahicho kilimo cha nyanya je nina 2heka itafaa kwa kilimo hicho tu
Thanks Kubota kwa kuleta uzi huu. Shukrani pia kwa wachangiaji wote. Nina maswali machache kuhusu hili zao hope Kubota, Malila, Mama Timmy, Goodmother au yeyote atakaepitia huu uzi anaweza kunisaidia
1) Kigamboni Dar Es Salaam linaweza kustawi?
2) Kama jibu la kwanza ni ndio, ni miezi ipi mizuri ya kusia mbegu kwenye vitalu na miezi ipi mizuri ya kuanza kupanda?
3) Mavuno yake yakoje? Kwenye eka moja naweza toa kiasi gani (kilo, kiloba, ndoo etc) kwa muda (wiki etc) gani?
4) Soko lake likoje? Bei ya kuuzia ni sh ngapi na kwa kipimo kipi (kilo, kiloba, ndoo etc)
5) Nimeona kuna changamoto ya mbegu mbaya or fake, unaweza kunitajia exactly duka lenye mbegu nzuri na bora
6) Nimeona kuna changamoto nyigine ya mifugo kama kuku, mbuzi, hii nitajitahidi kupambana nayo
7) Kuna changamoto nyingine zaidi ya hizo?
Samahani sana kwa maswali naona yamekuwa mengi