Nijuavyo mimi zao hili halina msimu; nilipanda tangu mwaka jana January - hadi leo naona mama watoto anaendelea kuvuna tu; majirani wanakuja kuomba wanachuma tu.
Nashukuru sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijuavyo mimi zao hili halina msimu; nilipanda tangu mwaka jana January - hadi leo naona mama watoto anaendelea kuvuna tu; majirani wanakuja kuomba wanachuma tu.
Yes Mkuu wangu Nyanya maji zinastawi sana! Cmbali kilipo chanzo cha MAJI cz nimenunua PUMP na HORSE PIPE ya 100mt,Imetosha kabisa na kwavile tumechimba mitaro so Maji 2kisha yavuta na kujaa kwenye mitaro 2nayafungulia kuingia kwenye Blocks .Ktk yote nimejifunza KILIMO cha Kiangazi kinachangaMoto sana! kwa mazao ya mbogamboga hasa kwenye madawa yakuua wadudu!

Thnx ndg kwa ushauri Nikweli khs Bei inabadilika kila wakati Manake kabla ya xmas Nilikuwa namuuzia huyo mteja Elf 50 kiroba 1 cha 50kg tena anafata hapo shambani lkn ss Imeshuka hata pale kkoo nimekuta wananunua Elf 30
Nilipomaliza form6 nililima mchicha bamia na nyanya bustani ndogo hapa Dar. KIlichonistajabisha ni kuwa bamia iliniingizia kipato kuliko vingine. Bamia tengeneza matuta ya urefu usiopungua futi1 chimba vishimo virefu na vichanganye na mbolea ya ng'ombe faida yake haiishi mapema kam ya kuku. panda punje 2 kila shimo umbali wa hatua yako. mwagilia maji asubuhi na jioni .maji yawe yanatuama ktk vishimo. baada ya mwezi na nusu utaanza kuvuna bamia. endapo maji ni ya kutosha basi kila ua la bamia likitoka utavuna bamia baada ya siku3. likate na mkasi ili ukivuna usitoneshe mti wake kwa mavuno endelevu. utaendelea kuvuna bamia kwa miezi isiopungua 2 kama mti inatunza vizuri. Huu ndio uzoefu wangu mdogo sijausomea

nipo mbeya, na huo mradi nimeplani kufanyia huku.uko maeneo gani mkuu? tuanzie hapo kwanza..ili kuona uwezekano wa ww kupata soko la karibu na ww..au swala la usafirishaji...funguka weka details za kujitosheleza.Ila masoko yapo mengi sana
kkulima bila kuwa na uhakika wa masoko ni tatizo, unaweza kuingia hasaraWe kalime tu mkuu, soko lipo la uhakika. Wanunuzi wa jumla wapo wengi masokoni..
ndio nakwambia kwamba, hayo mazao hayana tabu ya soko, nimekwambia uende wapi ambapo kuna wateja, mimi hizo ndio shughuli zangu. Kwahiyo ninakwambia kitu ambacho Nina uzoefu nachokkulima bila kuwa na uhakika wa masoko ni tatizo, unaweza kuingia hasara
SAWA MKUU, WAKATI WA MAVUNO UKIKARIBIA ITABIDI NIKUTAFUTE UNIUNGANISHEndio nakwambia kwamba, hayo mazao hayana tabu ya soko, nimekwambia uende wapi ambapo kuna wateja, mimi hizo ndio shughuli zangu. Kwahiyo ninakwambia kitu ambacho Nina uzoefu nacho