Nenda sokoni kariakoo ktk maduka ya kilimo, kama uko karibu na Ubungo, nenda pale Yenu Bar kwa pembeni kuna maduka pale au kama Buguruni ni rahisi, basi nenda mitaa ya Rozana pale kuna maduka.
Siku hizi mbegu za kuchakachua ni nyingi sana yameshanikuta mimi ndo maana siku hizi huwa napenda kununua kwa mawakala Moja kwa Moja au kunielekeza kwenye duka wanalowauzia wao ili kupata uhakika wa ubora wa Mbegu
........... Pia linasaidia sana kuongeza nguvu za kiume.......
Ya shakua hayo tena!!!!!!
Hii ukitangaza gazetini itapata wateja wengi sana cause hilo eneo siku hizi ni Tatizo
Ukitaka livume ghafla, basi tangaza kwamba linatibu kitu fulani ambacho kinasumbua sana jamii kwa sasa !!!!!!!!!!!!!!!
Ha ha haa haiwi haiwi imekuwa! Utabiri wa Malila umetimia kazi imeshaanza afadhari na kabei katalipuka!
Tunakoelekea sasa hivi tutahamia jukwaa la wakubwaBasi ukichanganya na bamia ukala kwa mwanamke inasaidia sana kuleta ule mnato kule kunako K. Kwa zile chungu ni dawa kwa watu wenye sukari nyingi (high blood sugar) na wale wa high blodd pressure. Kwa hiyo ni zao muhimu sana na halishambuliwi na wadudu/magonjwa hasa zile za kienyeji (kijani/ndogo na chungu).
Ha ha haa haiwi haiwi imekuwa! Utabiri wa Malila umetimia kazi imeshaanza afadhari na kabei katalipuka!
Tunakoelekea sasa hivi tutahamia jukwaa la wakubwa
Kitu cha uswahilini hicho. Ostabei, au Masaki huwezi kuwakuta wanahaingaka na nyanya chungu
........... Pia linasaidia sana kuongeza nguvu za kiume.......
Inawezekana maana wale jamaa wanaotoka kule linakolimwa sana wengi ni PLAY BOYS
Kitu cha uswahilini hicho. Ostabei, au Masaki huwezi kuwakuta wanahaingaka na nyanya chungu
Wahangaike na nyanya chungu kwani wanazijua !!!!, pili, hao wa huko wanajua kupika? Sehemu kubwa wanapikiwa tena kwa ratiba na vyakula vyenyewe vina majina ya kifaransa/kizungu.
Mmesahau zao lingine maarufu huku pwani ila linabaniwa, ni mbilimbi.
Ahsante sana kwa maelekezo yako hata sie tusiojua tunajua kupitia wewe.we mkaliUvunaji wa ngogwe (Nyanya chungu) hufanyika kila wiki baada ya miezi miwili toka kupandikiza, na uvunaji huendelea kwa miezi 6 hadi 7. Mimea ikianza kukauka kwa kuzeeka hukatwa kwenye shina chini na kuachwa lichipue tena na uzaaji huanza upya tena baada ya miezi 2 hadi 3. Matunda yaliyovunwa huwekwa kwenye viroba na kusafirishwa kwenda sokoni.