Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Nahitaji kujua hii aina ya karanga nitaipata wapi na bei yake kwa kilo ama hata kwa tani..ahsante
IMG-20180326-WA0003.jpg
IMG-20180326-WA0002.jpg
 
Zinaitwa mdagasca coconut zinapatikana zaidi mombasa huku kwetu zipo chache na sizani kama kuna sehemu zinalimwa kibiashara .
 
Back
Top Bottom