Niwasaidie kupata miche au shamba?Malila please tusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwasaidie kupata miche au shamba?Malila please tusaidie
Macadamia Mbinga yapo nimeenda vijijini wakanipa ndoo nzima niondoke nayo.
Wao hawayatumii wala hawahangaiki kuyatunza yalipandwa na mababu tangu ukoloni.
Niwasaidie kupata miche au shamba?
Sijalima mkuu, ila nimezipenda sana, sasa hivi nakimbiza Parachichi, mwakani Mungu jalia natumbukiza miche ya macadamia ya kutosha.Mkuu umelima na hizi?
Maana najua SUA haya mambo yakutosha.
Sijalima mkuu, ila nimezipenda sana, sasa hivi nakimbiza Parachichi, mwakani Mungu jalia natumbukiza miche ya macadamia ya kutosha.
Nimeanza kulima organic, nitaanza na local market, niko NjombeKila laheri!
Parachichi una export? Organic? unalimia wapi?
kesho inabidi nifunge safari kuelekea mbeya wewe ni mtu wa tatu waniambia..nazihitaji nyingi hata tani kumiDaaahh umenikumbusha mbali sana,niliona Tukuyu ndani ndani mkoani Mbeya.
Nahitaji kujua hii aina ya karanga nitaipata wapi na bei yake kwa kilo ama hata kwa tani..ahsanteView attachment 725932View attachment 725933
kesho inabidi nifunge safari kuelekea mbeya wewe ni mtu wa tatu waniambia..nazihitaji nyingi hata tani kumi
Yawezekana macho yetu si "mema" katika uonaji.Hebu tueleweshe shangazi hivyo vitu ni nini?Nadhani wanafananisha
naomba nipe maelekezo wapi naweza zipataNadhani wanafananisha
Nahitaji kujua hii aina ya karanga nitaipata wapi na bei yake kwa kilo ama hata kwa tani..ahsanteView attachment 725932View attachment 725933