Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,211
- 12,538
zinahitajika ufaransa, niko na wadau hapa,Zina kazi gani kwanza... Tupeane fursa.. katika awamu hii ya uchumi wa viwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zinahitajika ufaransa, niko na wadau hapa,Zina kazi gani kwanza... Tupeane fursa.. katika awamu hii ya uchumi wa viwanda
zinahitajika ufaransa, niko na wadau hapa,
zinahitajika ufaransa, niko na wadau hapa,
Nimewahi kuziona Arusha na Morogoro, na niliwahi kuzila pia, ni kama mti wenye kimo cha mchungwa na majani yake yanafanana na jani la chai, matunda yake mwanzo huwa ni ya kijani likikomaa na kuwa tayari kwa kuvunwa huwa na rangi hiyo ya kaki,zinahitajika ufaransa, niko na wadau hapa,
naam ni hayo hayoNimewahi kuziona Arusha na Morogoro, na niliwah kuzila pia, ni kama mti wenye kimo cha mchungwa na majani yake yanafanana na jani la chai, matunda yake mwanzo huwa ni ya kijani likikomaa na kuwa tayari kwa kuvunwa huwa na rangi hiyo ya kaki,
JE NIPO SAWA AU NIMEPOTEA
White macadamia nutsKama umeshawahi kula chocolates zenye karanga, kwa mfano snikers n.k. ndiyo wanaweka hizo macadamia nuts!! Na soko lake liko juu sana!
Hata wale wenye mgogoro na immune system unablend na kumuwekea kwenye maziwa CD4 zitapanda tuZinaongeza nguvu za kiume kama Vumbi la Mkongo vile.
Unataka kufanyia mishe gani mkuu hizo karanga?kesho inabidi nifunge safari kuelekea mbeya wewe ni mtu wa tatu waniambia..nazihitaji nyingi hata tani kumi
Daah nilikua sijui mkuu.Nadhani na wengine kupitia post hii watakua wamejifunza kitu.Hata wale wenye mgogoro na immune system unablend na kumuwekea kwenye maziwa CD4 zitapanda tu
Basi hapo nilipokuwa naziona, zilikuwa zinaanguka tu chini na kuachwa, hakuna aliyekuwa na muda nazonaam ni hayo hayo
wapi huko mkuu? pesa hiyo..hata tani kumi zinahitajikaBasi hapo nilipokuwa naziona, zilikuwa zinaanguka tu chini na kuachwa, hakuna aliyekuwa na muda nazo
Haya yanaitwa Macadamia Nuts. Nenda hapa kwa hawa Wamissionari ukaulizie labda utapata!Nahitaji kujua hii aina ya karanga nitaipata wapi na bei yake kwa kilo ama hata kwa tani..ahsanteView attachment 725932View attachment 725933
Morogoro wilaya ya kilosawapi huko mkuu? pesa hiyo..hata tani kumi zinahitajika
kesho inabidi nifunge safari kuelekea mbeya wewe ni mtu wa tatu waniambia..nazihitaji nyingi hata tani kumi
ndo hizo hizoHizi si zile kwenye ICE AGE au?